Nicheki ktk namba Yangu hapo juu tupange siko online Sana.Mkuu nauza iPhone 5 , Mimi niko mwanza ,
Mkuu.. Ni bora ufanye manunuzi katika vituo maalumu.... na sio humu.
Humu vijana wengi sana.
NikuuZie iphone 4 nliinunua nje ya nchi
Nipo dar
Nipe bei ya Iphone 4 unayouza na size ya memory,!