Niuzie techno M3 fasta kwa sh 60,000/=

Niuzie techno M3 fasta kwa sh 60,000/=

mi ninayo ila tachi ina ina nyufa niliiangushaga. ila ilivyo ni kama mpya vile. na inatachi kama kawaidaaaa...ni PM nikupe mzigo na ndiyo hii ninayoitumia. ukitaka picha ni PM namba yako nikutumie sasa hivi
 
Ongeza 30, nikupe Tecno H5 na charger yke & Memory card 7gb
 
Back
Top Bottom