Nina lumia 820 nipigie namba 0713404014 kwa maelezo zaid
Mi ninayo Lumia 920 almost new. 0715 203386
kuna lumia 520 inatumia windows 8. bei rahisi sana afu imetumika wiki3. ni pm kama utahitaji
nina lumia 630 window 8.1. bado mpya. bei 2.8. inakubali m pesa window zingine kama hii hugoma mpesa. niko mbeya. ni pm tufanye biashara
wekeni na bei basi jamani!!Mi ninayo Lumia 920 almost new. 0715 203386
weken bei na contact zenu co mmoja 2 anaetafta wengine ndo 2naptia matangazo hayo hayo 2nunue