Bado nasubiria Swali nlilomuliza gari ya abiria....hajasema ni la Aina gani badom9 mmmmmmh
mbona kama chache
STAKI 😉Weka gari na bei yako,
Anataka gari la abiria!Wabongo bana ana hela sawa na hela ya TRa alafu anaweka masharti 700..iwe nzima (mbona hela yako sio nzima), haijapigwa rangi (iweje sasa)
Acheni uswahili bana, huna hela unauziwa screpa, una hela agiza Jpn
Sema unataka gari Aina gani?Weka gari na bei yako nitakupm
Magari Hapa ndipo mahala pake.....ukitaka kuwekea magari utawekewa magari Hata 1000.....Unagari yoyote ya abiria weka hapa,huna acha maswali
Nina Carina GT engine 5sMi natafuta CARINA si,
cc 1790
7A Engine