Subiri mimba, demu wako atapimwa nawe utakua ushapimwa indirectly.
Salute wakuu.
Ukweli ni kua mimi sio fuska, ila nimewah kua na mahusiano kadhaa kabla ya haya niliyo nayo sasa hivi.
na kama ilivyo hata kula tunda mara 1tu inatosha kuambukizwa HIV.
kwa sasa nina relation amabayo ni serious na naona kwa umri huu nilionao hii inaweza kua ya kudumu
ikimpendeza Mungu iwe ndoa kabisa!
kabla ya kufika huko natamani sana nikapime HIV ili nijijue ila wandugu ninapata mno hofu??
kila nikiwaza naona kama ni stress naenda kuatafuta ni bora nikae hivi nilivyo mpaka itakapolazimu kupia.
wadau hebu nipeni courage ya kwenda kupima HIV tafadhali!
kaunga nikikaa nawewe siku nzima naamini nitakolea na kwenda kupima.Vyovyote vile it wont be the end of the world; suppose unao, kipi kinatisha; kuumwa au kufa?
Ni wenye Ukimwi tu ndio wanaoumwa? Nenda Oceon Road au hata hospitali yoyote.
Au kama ni kufa, wenye ukimwi wangapi unaowajua bado wako hai, na waso ukimwi wangapi wamekufa?
Au ni unyanyapaa ndio unaouogopa?
Nenda na mawazo kuwa tayari umeathirika, ili kama ni kweli shock iwe ndogo; ikiwa si kweli then uruke ruke kwa furaha na kuamua kubadilisha staili yako ya maisha.
kaunga nikikaa nawewe siku nzima naamini nitakolea na kwenda kupima.
ngoja nitafakari kwanza nifikiemaamuzi ambayo sintojutia.