ASNAM asante. Mentor njoo huku mkuu unisaidie naski we ni mjuzi.mtafute Mentor mtapeana ujasiri na matumaini ya kwenda VCT mkijiamini,huo ugonjwa uchukulie kama magonjwa mengine akilini mwako ndipo na miguu itapata nguvu ya kwenda kupima lakini kama ubongo wako umejiwekea uwoga hata ukisindikizwa unaweza kufa kwa presha kabla hata hujapokea majibu,hata hivyo utapewa ushauri kabla ya kuchukuliwa vipimo.
mkuu ku-do hakuhitaji ujasiri,Tumia ujasiri ule ule ulioutumia ku do bila kupima
Vyovyote vile it wont be the end of the world; suppose unao, kipi kinatisha; kuumwa au kufa?
Ni wenye Ukimwi tu ndio wanaoumwa? Nenda Oceon Road au hata hospitali yoyote.
Au kama ni kufa, wenye ukimwi wangapi unaowajua bado wako hai, na waso ukimwi wangapi wamekufa?
Au ni unyanyapaa ndio unaouogopa?
Nenda na mawazo kuwa tayari umeathirika, ili kama ni kweli shock iwe ndogo; ikiwa si kweli then uruke ruke kwa furaha na kuamua kubadilisha staili yako ya maisha.
ASNAM asante. Mentor njoo huku mkuu unisaidie naski we ni mjuzi.
Hahahah... Tasia I na Asnam ebu ntakeni radhi.
Mke wangu Evelyn Salt na dada gfsonwin wakisoma hapa watanielewaje sasa!??:nono:
Kama vipi usipime mpaka nywele zianze kunyonyoka...:bounce:
Subiri mimba, demu wako atapimwa nawe utakua ushapimwa indirectly.
kumbe ubahili umekutoka maana huyu shost bila wallet hujamkamata,huna jipya ww jana umekimbia majibu.
Mungu ni mwema kila la kheri.Nlishayachukua ama nayo nibandike hapa kama matokeo ya NECTA!??
Haha..ask her...:A S-heart-2: (..am in love)