Vijana wengi siku hizi huwa wanaingia ndoani bila kujua/kupata mafundisho ya ndoa kiasi kwamba kwenye ndoa zao ni ugomvi, maneno na kupigana kila siku.Mkeo akikukasirisha huwa unachukua hatua gani kupunguza hasira zako.
Pia ukimkasirisha huwa unafanya nini kumrudisha normal?
(Jibu lako mabechela tunaweza kujifunza)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua tuu, kukwepa ukweli utaniangushia zigo!
Nafikiri swali lilikuwa sensitive saana! Nimekuelewa
Kama unanizidi umri, inamaana itakuwa umezaliwa kabla yangu, mi nitaendelea kukuheshimu tu kama kawaida. Kwa maana mwanamke jina lake huwa halibadiliki akiwa mdogo dada na akiwa mkubwa dada [emoji120][emoji120][emoji120]Vipi kama nakuzidi umri eti kakangu wa faida
Vijana wengi siku hizi huwa wanaingia ndoani bila kujua/kupata mafundisho ya ndoa kiasi kwamba kwenye ndoa zao ni ugomvi, maneno na kupigana kila siku.
Kwanza kabisa unatakiwa umjue mkeo ni mtu wa namna gani na ukishamjua hapo haikupi shida jinsi ya kutatua mitafaruku ya ndoani kwako na lau kama ukioa kufata mkumbo ndio utajikuta kila siku unashinda majukwaani kuomba ushauri juu ya ndoa.
Tukizungumzia ndoa ni kitu sensitive sana kwani jinsi sisi wanaume tulivyo na utofauti basi na ndivyo wanawake nao walivyo na utofauti.Ila cha msingi ni kumwelewa mwenza wako nae akuelewe mkiwa hivyo hamtosumbuana wala kupigana. Wanawake huwa wanapenda sana kubembelezwa na kutunzwa zaidi ya lulu au mboni ya jicho. Usioe ili tu kwa vile utaondoa kizuizi cha kupata ukitakacho bali oa ukiwa na uhakika sasa unakwenda kumchukua mtoto wa kike kwao toka kwenye mikono ya wazazi wake na wewe ndio utakuwa kila kitu kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe si mchokozi.[emoji3][emoji3]
Sawa kakangu wa faidaKama unanizidi umri, inamaana itakuwa umezaliwa kabla yangu, mi nitaendelea kukuheshimu tu kama kawaida. Kwa maana mwanamke jina lake huwa halibadili akiwa mdodo dada na akiwa mkubwa dada [emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nisamehe bana
Case sensitiveNdoa yako ina umri gani?
Ulitumia mbinu ipi kumuaminisha mkeo kuwa wewe ndiye mwanaume sahihi wa maisha yake?(naweza kuitumia mbinu yako)
Aisee...! hata mie najua kupika hiyo biryan.Unafuraha ya nn leo?
Nataka unipikie msosi siku moja(birian)
Wewe hapoNilishakusemehe wewe vipi, ning'ate sikio baasi maana ulifurahia sana ili swali.
Ahsante chief troublemaker tupo pamojaShukrani mkuu Beberu wa Africa asante kwa kutupa nafasi ya kupata machache kutoka kwako.
Nakutakia siku ya kuzaliwa yenye furaha.
Cc Beberu Mwitu
Wewe hapo
Nikikuona nakuwa bubu
Ujulie wapi ww[emoji3][emoji3][emoji3]Aisee...! hata mie najua kupika hiyo biryan.
Usikiaye Maombi by CATHY PRAISENi dedicatie nyimbo nzuri ili nikuamini.
Ni dedicatie nyimbo nzuri ili nikuamini.
Nakufananishaga na huyo kaka kwenye huo wimbo!Usikiaye Maombi by CATHY PRAISE
SAS kweny kubet kwa sisi vijana tunasema umeweka double chance na bado umepigwaUsikiaye Maombi by CATHY PRAISE