FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,353
Tena hachunguziki kwa kweli!!!Thanks dear.... Mungu wetu Ni Fundi kweli kweli .... Tehe Tehe Tehe.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena hachunguziki kwa kweli!!!Thanks dear.... Mungu wetu Ni Fundi kweli kweli .... Tehe Tehe Tehe.....
Lishajibiwa hili, kuwa inategemeana na hali ya mtuMbona kuna taarifa kuwa HIV Hawakai kwenye shahawa?
Kuna mtu aliwahi-kuniambia hata "ndui" iliwasumbua sana wataalamu lakini baadaye chanjo ilipatikana.HIV ingekuwa kama EBOLA au mafua ya ndege ingekuwa rahisi sana kuicontain lakini kwa sababu in incubation period ndefu sana na mutation inayotokea ndio maana imechukuwa muda mrefu sana kuicontain. Hata hivyo kwa juhudi zinazoendelea itakuwa contained tu.
Kuongezea hapo.... Naomba kujua kuna aina ngapi za HIV Virus waliopo.... Asante.HIV ni virus kama inavyosemekana au ni free genetic material ambayo inabadili Cell nucleulous na kupelekea mwili kubadilika,Nategemea jibu ukibase kwenye concept ya DNA/RNA replication
Utamodify kwa watu milioni 36.9 wenye maambukizi?Kwa hiyo UKIMWI ni matatizo ya Kigenetiki ambayo husababishwa na HIV? mimi siamini HIV ni virus kama wanavyosema,inabidi atafutiwe maelezo mengine,je haiwezekani Ku modify RNA yake ili isiwe na madhara kwa binadamu
Kuna virus (HIV) wa aina mbili HIV 1 NA 2 , ZENYE SEROTYPE A, B, C, D. TYPE 2 HAIMBUKIZWI KWA URAHISI LAKINI PIA INACHUKUA MUDA MREFU DALILI KUONEKANAKuongezea hapo.... Naomba kujua kuna aina ngapi za HIV Virus waliopo.... Asante.
Takwimu za kujua kiwango cha ugonjwa katika jamii huwa ni cross section study, ambapo watu fulani wanakua sampled kama representatives wa population fulaniJe takwimu hii huwa imetokana na waliojitokeza au mbinu za upimaji wa siri pindi mtu anapoenda hospitali ukijumuisha na waliojitokeza kupima kwa hiari?
Nice replyKuna virus (HIV) wa aina mbili HIV 1 NA 2 , ZENYE SEROTYPE A, B, C, D. TYPE 2 HAIMBUKIZWI KWA URAHISI LAKINI PIA INACHUKUA MUDA MREFU DALILI KUONEKANA
Dah!!Ifuatayo ni Namba, Mkoa & Kiwango cha Maambukizi ya VVU.
1. *Njombe* 11.4
2. *Iringa* 11.3
3. *Mbeya* 9.3
4. *Mwanza* 7.2
5. *Kagera* 6.5
------------------------------- Top 5
6. *Shinyanga* 5.9
7. *Katavi* 5.9
8. *Songwe* 5.8
9. *Ruvuma* 5.6
10. *Pwani* 5.5
----------------------------TOP 10
11. *Tabora* 5.1
12. *Geita* 5.0
13. *Dodoma* 5.0
14. *Tanga* 5.0
15. *Dar es salaam* 4.7
16. *Rukwa* 4.4
17. *Morogoro* 4.2
18. *Simiyu* 3.9
19. *Mara* 3.6
20. *Singida* 3.6
-----------------------------TOP 20
21. *Kigoma* 2.9
22. *Kilimanjaro* 2.6
23. *Manyara* 2.3
24. *Mtwara* 2.0
25. *Arusha* 1.9
26. *Kaskazini Unguja* 0.6
27. *Mjini magharibi* 0.6
28. *Kusini Pemba* 0.3
29. *Kaskazini Pemba* 0.0
30. *Kusini unguja* 0.0
TUJIHADHARI DHIDI YA UGONJWA WA UKIMWI.
Tanzania bila Ukimwi inawezekana.
Source:TACAIDS
*@Takwimu ya Ukimwi Tanzania 2018*
Any comment about this current data available from TACAIDS??
HIV virus ni kinaweza kukaa kama kiumbe hai na kukaa kama kiumbe kisicho hai, ila kikikutana na damu tu kazi inaanza kama kawaVirus vya ukimwi vinaweza kuishi muda gan nje ya mazingira yake
Na je vikirudi kwenye damu vinaweza kufufuka endapo vilikufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana Monseur ni hivi virusi wanakaa kwenye seli nyeupe za damu. Na kazi ya seli nyeupe za damu ni kutoa ulinzi kwenye mwili. Kwa hiyo hizi seli zinauwezo wakuwepo sehemu yoyote ambako zitapambana na magonjwa. Kwa hiyo zinaweza kuwa kwenye maniii nk nk
Ndio maana hapo
Hivi wakati unatumia kondom baati mbaya ukamwaga ndani ya kondom wakati wa kuitoa ikabaki ndani ya uke je mtu anaweza pata ukimwi hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena hayo ndio yana kiwango kikubwa cha VIRUSI.
Mwanaume akiejaculate ana mweka mwanamke katika hali kubwa ya kupata maambukizi
Umenena mkuu! Dawa ya ni kutopima. Ila ukihisi malaria kapime then tumia dawa za malaria.Kitu kimoja nimenotice kwa waliopima na wasiopima ila wana virusi bila kujua, wakipimwa na kujua wana virusi ndio ugonjwa huanzia hapo rasmi. Kukonda na hata kufa.
shida ya hapa ndio hutokea maambukizi kwa kwenda mbele mkuuUmenena mkuu! Dawa ya ni kutopima. Ila ukihisi malaria kapime then tumia dawa za malaria.
Sent using Jamii Forums mobile app