Niulize, Nipongeze, Nikosoe, Nishauri

Ndio, hakuna cha kuficha.
Nilikuwa najiuza kutokana na hali ngumu ya maisha.
Ugumu wa maisha na hali ngumu ya nyumbani ndio iliyopelekea kuingia katika hatari hii.

Ila imebaki historia na sitaki kurudi tena nilikotoka
Ndio maana huna kikazi eeeh? Ila pole mwaya.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…