Niulize maswali kuhusu Sonography

Sawa mkuu penadu ni kitu gani!?
Hahahhaa Penadu (Penadur) ni jina la kibiashara la dawa moja jamii ya Penicillin ya kuchoma ila dah inamaumivu balaa ugua Syphilis (kaswende) utaipata fresh anyway dozi moja inachomwa tako zote mbili
 
Upimaji wa sauti unapelekeaje kuonekana kwa picha?
 

Attachments

  • images (7).jpeg
    18.6 KB · Views: 17
Upimaji wa sauti unapelekeaje kuonekana kwa picha?
Ndio, mwangwi wake ndio hutafsiliwa na kutoa graphics hizo ambazo mtaalamu huona picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…