claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 316
- 480
Weka darsa iwe faida kwa wote, wasiojua kitu wajifunze na wanaojua waongeze ufahamuWadau kwema
Niulize chochote kuhusu programming language
1.PHp
2 javascript
3.mysqli
Additional java.
Jquery na ajax.
Karibuni.
Sawa nitakuja na darasa hapaWeka darsa iwe faida kwa wote, wasiojua kitu wajifunze na wanaojua waongeze ufahamu
Yeah watajifunza mengiNilianza na Void Main ()
C++ nikakoswa koswa sup nikaone isiwe shida.
Naamini hili darasa hapa litafaidisha wengi. Programing ni uwanja mpana sana
Na mtamu sana ukipata Mwl mbunifu wa mbinu za kufundishiaNilianza na Void Main ()
C++ nikakoswa koswa sup nikaone isiwe shida.
Naamini hili darasa hapa litafaidisha wengi. Programing ni uwanja mpana sana
Ni int main() mkubwa ...Ulikoswa Na mangula Nini?Nilianza na Void Main ()
C++ nikakoswa koswa sup nikaone isiwe shida.
Naamini hili darasa hapa litafaidisha wengi. Programing ni uwanja mpana sana
Mkuuu hii language niliacha kuisoma kitambo saana ila nitajaribu kukusaidiaHabari Mkuu, naomba nisaidie code za C za swali hili:-
1. Write a program to replace each constant in a string with the text one except letter „z‟ „Z‟ and „a‟ „A‟ . Thus the string “Programming in C is fun” should be modified as “Qsphsannjoh jo D jt gvo”.
Local variablefunction greet() {
a = "indian"
}
Mkubwa variable a ni local variable au global variable
Hii ni code ya JavaScript
Sawa Mkuu, nasubiriMkuuu hii language niliacha kuisoma kitambo saana ila nitajaribu kukusaidia
SawaUnazingua flutter siyo programming language ni framework, programming language yake ni Dart
Ushafeli tayariLocal variable
eh! bado bro, naongeza kaswaliLocal variable
Hii ni serious inbox kazi ifanyikeMsaada kufanya deserialization over socket java.
client ata serialize object then kutakua na db server ambayo itafanya deserialization na ku insert data kwenye db.
SawaUshafeli tayari