Mi naomba kujua kuna mazoea gani kati ya wasichana wa duce na wanajeshi wa mgulani pale maana kuna dada yangu mwaka jana alipewa mimba na mwanajeshi wa pale na akajifungua kipindi cha ue so akaairisha mwaka na kuna mdogo wangu anakuja duce so nataka nimpe mwangaza kuhusu mahusiano yaliyopo kati ya hao wanajeshi na dada zetu.