Habari wana JF kwa hakika haditi hii ni ndefu ila usichoke kuisoma ili upate unishauri vizuri.
Miaka takribani saba nilijihusisha na mahusiano na mtoto wabkibongo anaeishi dodoma na mimi zanzibar aliipata namba yangu ya simu katika gazeti kwa kipindi hicho nilikua ni mtungaji wa kashair tulikua marafiki ila hatimae tulijikuta sote tukizama katika bahari nzito ya mapenzi.
Wakati mahusiano yetu yakiwa machanga sana kama wiki 2 mimi nilikua tayari nimeshaposa na kulipa mahari kwa msichana mwengine jambo ambalo lilinifanya nijilaumu kwa nini mimi na mtoto wa dom hatukujuana mapema?
Haikuwa rahisibkumuambia kua naowa kwani nilikua nampenda sana japo nilikua sijamuona hata cku 1 pia haikua rahisi yy kugundua kua nimeowa kwani nilimpenda na kumuheshimu km mwanzo.
Baada ya miaka 2 ndio aligundua kua nimeowa kwa 7bb za uzembe wangu hakutaka kunielewa ila nilimnasihi hadi alikubaliana na hali tukaendelea na mapenzi yetu ktk simu na kuendelea kumuahidi kua nitamuowa.
Ilipotimu mwaka wa 4 wa mahusiano yetu mtoto alitoka dodoma na kunifuata znz ktk kipindi cha likizo ya shule yy alikua akisubiri matokeo ya form 4.
Alikuja tukaonana kilan 1 alifurahi kukutana na mwenzake nilikaa nae nyumbani kwa rafiki yangu muda huo mke wng alikua kwao kwa matembezi wiki mbili tunalala kitanda 1 ila sikumgegeda kwani alikua hajawahi kufanya sex ilipoingia wiki yabtatu nilimpa hela ya nauli na matumizi kwa safari ya kurudi kwao.
Tuliendelea na mahusiano kama mwaka na nusu akaaza kubadilika zarau zikawa haziishi kila nikimnasihi hakuweza kunielewa niliendelea kumvumilia kwa kumpenda kikweli ikatimu mwaka hali ikazidi kua mbaya kimaelewano nikamtumia nauli aje na akaja mke wangu pia alikua hayupo ila zarau zilimtawala na upendo kupungua nikahisi ili mtoto nimzibiti nivunje kikombe yy alikua tayari kwa hilo ila mm nilikataa tulikaa kwa wiki 1 halafu akaondoka akarudi dar kabla hajarudi kwao dodoma alizidi kua na majibu ya fedhuli haikutimu wiki na nusu nikamtumia nauli tena kuja kuondoa tofauti zilizokuwepo mda huo.
Mtoto alikuja hapo ndipo nilipoona ili niweke heshima nikaamua kuvunja hazina yake alioitunza kwa mda mrefu ili akiolewa awe nayo mda huu nilivunja rikodi tulikua pamoja kwa mwezi mzima nikigegeda na kumfunda hadi alipoondoka alikua km bingwa na alieanza mda mrefu huo mchezo mchafu.
Aliporudi dar alikaa kwa heshima ingawa hakua na amani akihisi nitamsaliti ingawa alijiona sitompenda tena ila bado nilimuheshimu sana ila ninapotelea km mwanadamu nikikosea lawama hazishi unanifania hivi kwa kua ushaniharibu, ooo kushapata ukitakachoo, aaa umeshaniharibia maisha na kuitia familia yng aibu cku nikiolewa ila sikuvunjika moyo nilikaa miezi 5 baada ya kugegeda akanambia kamiss kambo kutoka kwangu mi nikatoka nikaenda dar ndipo alipo kua mitaa ya tandika nami niakafikia tandika .
Cha ajabu mtoto hakutaka kuonana na mie labda alihofu nilipomuambia kama ulisex na mtu mwengine nitajua na ni bora uniambie kabla sijagundua mtoto aligoma kuonana na mie.
Sawa mi nilimuelewa wakati niko ktk boti narudi akajamba km unataka kunioja njoo ila usinilaumu kwa mabadiliko yng nikamuambia mi niko ndani ya boti ila nitakutumia barua nikifika home maana niko tayari nasubiri maamuzi yako tuu mtoto akakataa nisitume barua kwa nini hakutoa sababu baada ya kumbembeleza ndio alikubali .
Ila bado hajali kiburi na jeuri imemtawala nifanyeje?