Programme gani naweza kutumia katika kuunganisha video au video editor. Kuna video nataka kuziunganisha nitumie app gani? Kifaa nacho tumia ni Kompyuta.
computer zinakuja na simple video editor inaitwa movie maker, click start kwenye computer yako andika movie maker kama haipo kwenye pc yako itabidi uidownload ni bure tu.
pia ipo nyengine ni nzuri zaidi inaitwa magix video easy hd ni rahisi sana kutumia sema ni ya kulipia, kama hujui kutumia torrent its better tumia hio movie maker kwanza