Nitumie Moyo au ubongo?

Kumbe jibu unalo?
 
Kwanza nikupe pole, pili nikusikitikie.
Yan M1.5 unataka uipoteze kizembe tu namna hyo kisa mwanamke tena si mkeo na wala malengo yenu hayaeleweki.
Kwakweli watu tunatofaitiana.
'Ee Mungu naomba uniepushe na upuuz km huu'
 
1.5M kwa kademu..! tena usawa huu wa VYU... VILIVYO KADHAA..! aisee me naona umeamua kuingiza scene ya bongo muvi
 
Nikishindwa kutumia MOYO na AKILI, huwa natumia MIGUU!
 
Acha kuzengua that is straight forward case. Dump that girl she want to use u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…