mohkova
Member
- May 22, 2021
- 10
- 3
Wanajamvi nina jiko langu la gesi la mtungi mdgo linanitesa ,,
Nilikuwa napika likagoma kufunga gesi inatoka mfululizo ukizungusha kufunga inazunguka tu bila kuzima nikaamua niitoe burner kabsa ,nikajarbu burner nyingne kuweka tu gesi ikaanza kutoka kwa kasii ukipunguza wala kuizima haikubali
Shida nini wadau nitoeni ushamba