Mie sijui sana! Lakini ninavyojua Mikopo hiyo hutolewa kutoka nchi zenye maslahi ya kuwekeza hapa nchini,Naomba wajuvi mnisaidie;
Wakati wakuchukua mikopo TV zetu hutangaza hadharani kwamba serikali imesaini mkopo huu kutoka nchi flani kwa ajili ya ujenzi Wa mradi flani!
Lakini sijui na sijawahi ona serikali kupitia TV ikitangaza kuwa tumelipa au kumalipa mkopo flani kutoka nchi flani!
Mwenye taarifa zaidi juu ya namna serikali yetu sikivu inavyolipa mikopo hii anijuze!
Fafanua kidogo ; Inamaana hilo la kujilipa humohumo lipo kimkataba?Mie sijui sana! Lakini ninavyojua Mikopo hiyo hutolewa kutoka nchi zenye maslahi ya kuwekeza hapa nchini,
mfano; Inchi kama China au Japan wanapotupatia MKOPO wanakuwa kama wamechumbia Rasilimali zetu! Kwahiyo wanajilipa humohumo kwenye uwekezaji!
Sijui kama nimekujibu vyema
Misaada ni jambo moja na mikopo ni jambo jinginePia Pesa zote siyo mkopo! Zingine ni pesa za msaada kutoka nchi wahisani
Oooh, kwahiyo mikopo hii tunayopatiwa serikali hailipi kwa Cash by Cash Bali tunalipa kwa fadhila?Mikopo inayotolewa especially for this less developed country zinakuwa accompained with some condition, so hizo condition ndio zinawafavour hao watoa mkopo
Mfano,
Wanakupa mkopo so as to accept gays in the country, ukisain tayar
Wanakupa mkopo ili waanze kuingiza bidhaa zao bure without any restriction from the government
Wanakupa mkopo ili ujenge kitu flan, wao wanachohitaj mfn bandar ila wao ndio wataitumie bila kuingiliwa na serikali kupakia na kuweka mizigo
Note,mpaka wanakupa huo mkopo lazima wanakuwa wameona beneficial resources from the country that will gain
Kwahiyo malipo ni haya masharti peke ake hatuwajibiki kulipa cash kama Cash?Mfano unapewa mkopo na Japani, huku unaambiwa nunua magari ya Toyota ambayo ni ya mjapani, pia unakumbuka nyama za kopo kutoka chini, ziliishia wapi
Kwahiyo malipo ni haya masharti peke ake hatuwajibiki kulipa cash kama Cash?
Sasa iweje tuite huo MKOPO na siyo Msaada wa mashartiNchi masikini Cash utoe wapi
Sasa iweje tuite huo MKOPO na siyo Msaada wa masharti
Lugha tu, tajiri na tajiri ndio wanakopeshana, maskini anasaidiwa na tajiri ili tajiri apate rasilimali kupitia maskini
Lini utalipa hiyo ela
View attachment 1272856
ndiyo watalaam nataka watuambie madeni kama haya huwa tunayalipaje kama inchi!Lini utalipa deni hilo
Hv wahisani si ndo mabeberu?Pia Pesa zote siyo mkopo! Zingine ni pesa za msaada kutoka nchi wahisani
ndiyo watalaam nataka watuambie madeni kama haya huwa tunayalipaje kama inchi!
Poa!Ukipata jibu nistue