Nitoeni Tongotongo; Serikali inapopokea mikopo kutoka nje huwa tunatangaziwa; Lakini sifahamu mikopo hiyo serikali yetu huwa inailipaje kwa nchi hizo

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
5,582
Points
2,000

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
5,582 2,000
Naomba wajuvi mnisaidie;

Wakati wakuchukua mikopo TV zetu hutangaza hadharani kwamba serikali imesaini mkopo huu kutoka nchi flani kwa ajili ya ujenzi Wa mradi flani!

Lakini sijui mikopo hiyo huwa inalipwaje kwa nchi hizo;

Nauliza hivyo kwasababu sijawahi ona serikali kupitia TV ikitangaza kuwa tumelipa au kumaliza mkopo tuliochukua kutoka nchi flani!

Cha zaidi huwa nasikia tu deni limepanda!

Naomba Mwenye taarifa zaidi atujuze humu!
IMG_20191126_081008.jpg
 
mswangilishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2016
Messages
526
Points
1,000

mswangilishi

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2016
526 1,000
Naomba wajuvi mnisaidie;

Wakati wakuchukua mikopo TV zetu hutangaza hadharani kwamba serikali imesaini mkopo huu kutoka nchi flani kwa ajili ya ujenzi Wa mradi flani!

Lakini sijui na sijawahi ona serikali kupitia TV ikitangaza kuwa tumelipa au kumalipa mkopo flani kutoka nchi flani!

Mwenye taarifa zaidi juu ya namna serikali yetu sikivu inavyolipa mikopo hii anijuze!
Mie sijui sana! Lakini ninavyojua Mikopo hiyo hutolewa kutoka nchi zenye maslahi ya kuwekeza hapa nchini,

mfano; Inchi kama China au Japan wanapotupatia MKOPO wanakuwa kama wamechumbia Rasilimali zetu! Kwahiyo wanajilipa humohumo kwenye uwekezaji!
Sijui kama nimekujibu vyema
 
dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
5,582
Points
2,000

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
5,582 2,000
Mie sijui sana! Lakini ninavyojua Mikopo hiyo hutolewa kutoka nchi zenye maslahi ya kuwekeza hapa nchini,

mfano; Inchi kama China au Japan wanapotupatia MKOPO wanakuwa kama wamechumbia Rasilimali zetu! Kwahiyo wanajilipa humohumo kwenye uwekezaji!
Sijui kama nimekujibu vyema
Fafanua kidogo ; Inamaana hilo la kujilipa humohumo lipo kimkataba?
 
Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Messages
2,640
Points
2,000

Pain killer

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2017
2,640 2,000
Mikopo inayotolewa especially for this less developed country zinakuwa accompained with some condition, so hizo condition ndio zinawafavour hao watoa mkopo

Mfano,
Wanakupa mkopo so as to accept gays in the country, ukisain tayar

Wanakupa mkopo ili waanze kuingiza bidhaa zao bure without any restriction from the government

Wanakupa mkopo ili ujenge kitu flan, wao wanachohitaj mfn bandar ila wao ndio wataitumie bila kuingiliwa na serikali kupakia na kuweka mizigo

Note,mpaka wanakupa huo mkopo lazima wanakuwa wameona beneficial resources from the country that will gain
 
Oooh, kwahiyo mikopo hii tunayopatiwa serikali hailipi kwa Cash by Cash Bali tunalipa kwa fadhila?
Kama ni hivyo kwanini deni la taifa huwa linaongezeka Mkuu!
 
Magna Carta

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2014
Messages
3,754
Points
2,000

Magna Carta

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2014
3,754 2,000
Mfano unapewa mkopo na Japani, huku unaambiwa nunua magari ya Toyota ambayo ni ya mjapani, pia unakumbuka nyama za kopo kutoka chini, ziliishia wapi
 
Forum statistics

Threads 1,378,780
Members 525,187
Posts 33,724,254
Top