blackstone
Senior Member
- Aug 11, 2015
- 147
- 129
Sure nawe chukua Simu chat na kale ka mwanafunz ka Mzumbe ngoma draw
Siyo ushauri mzuri huoImaeshakuwa kawaida kwa wakati tulionao. Cha muhimu naye angetoa simu yake akachati ili iwe ngoma droo kuliko kuwaza kuivunja mana mwisho wa siku ni hasara na itambidi agharamikie ununuaji wa simu nyingine au angejilalia.
Ushauri mzuri ni upi?Siyo ushauri mzuri huo
Hiyo si sababu, wangapi wanaodai kupendana wanasalitiana?Ni pale unapokuwa na asiyekupenda unalazimisha