mkuu naheshimu mawazo yako bt nakitumia coz nimeji register kwenye Microsoft computer training na mwezi December nafanya Microsoft certification exams ili kuwa verified na Microsoft kwenye nyanja ya information of technology bt naweza kuki scan chote nikaweka hapa jukwaani watu wakapata maujuzi mkuu
Mkuu mimi sielewi maana ya hacker !
lakini kwa maana uliyonipa naona unataka kunichanganya, ungefunguka zaidi.
huyu hacker anataka kuscan hicho kitabu, aweke humu,.. Hajui ata mambo ya copyrights.
haha hahaha mkuu ni kweli bt nilikuwa nataka kuwapa maujuzi wana jukwaa wenzangu bt c kesi tutajua cha kufanya kwa wana jukwaa waliopo dsm na wenye kukitaka ktabu
nadhani mkuu chief mkwawa ameshafafanua vya kutosha bt kama unataka kuwa professional hacker like me tafuta kitabu kinaitwa HSE (hacking secrets exposed) cha srikanth ramesh kitabu hicho kitakusaidia katika nyanja zifatazo
kitakufunza codes&tricts za hacking
kitakufunza kujilinda zidi ya hackers au cyber threat
kitakufunza jinsi ya kutumia OS (operating systems)
lunex mint, obuntu, windows, macintosh osx, fedora
kitakufunza language of programming
python, java, oss (open source software) c plus plus
Mkuu, kwamfano nataka kuhack account ya Mr Invisible natakiwa nijue program gani? nataka ni hack official mails kama za organisation fulan natakiwa niwe na program gani? Nataka kuhack banking systems zinazotumiwa na mabenk nchini itanibidi niwe na hizo program kwanza? Nitaweza vipi kujua codes za system hizo kama mimi sio mmoja wa creators wake?Inabidi usome. There is no other option. Zipo free resources nyingi sana, na hardware required inategemeana na platform unayotaka kuhack into mfano 802.11 /WiFi, Bluetooth na ZigBee encryption, GSM hacking, Web Apps e.t.c. Ni lazima uijue platform hiyo husika vizuri kwanza kabla hujaweza kuhack otherwise utakuwa script kiddie. Kama utakuwa software hacker, lazima ujifunze programming to a very advanced level. Mfano ili uelewe the buffer overflow attack in C, lazima uijue C to a very low level.
There are many automated tools available but you are better off knowing the actual implementation.
Anyway, anza kwa kusoma vitabu vya Hacking Exposed series kama Hacking Exposed Web Applications, Hacking Exposed Wireless, Hacking Exposed Windows. Pia kuna 24 Deadly Sins of Software Security and the likes.
Acha kutumia Windows. Anza kuijua Linux.
Punguza mambo mengi, that is, KILL YOUR SOCIAL LIFE! Hacking is a lifestyle in itself
Hacking sio kipaji cha kuzaliwa directly lakini kuna baadhi ya traits mtu anazozaliwa nazo zinazomfanya kuwa hacker mzuri. Creativity, daring, cunningness, fast and logical thinking, focus and concentration ni baadhi ya traits ambazo zinamsupport mtu kuwa great hacker.
Kinapatikanaje hiki kitabu online au madukani ?
Mkuu, kwamfano nataka kuhack account ya Mr Invisible natakiwa nijue program gani? nataka ni hack official mails kama za organisation fulan natakiwa niwe na program gani? Nataka kuhack banking systems zinazotumiwa na mabenk nchini itanibidi niwe na hizo program kwanza? Nitaweza vipi kujua codes za system hizo kama mimi sio mmoja wa creators wake?
Fanya uchunguzi ili kutambua system ya account hiyo inatumia database ya aina gani, kama ni RDBMS (Oracle ,mysql,sqlite,sybase,microsoft acess etc ) anza kujifunza SQL in general kisha hamia kwenye database husika.Mkuu, kwamfano nataka kuhack account ya Mr Invisible natakiwa nijue program gani?
chunguza ili kutambua hiyo mail site imeandikwa kwa language gani , kama uzijui anza kujifunza hizo language, pia tambua database wamayotumianataka ni hack official mails kama za organisation fulan natakiwa niwe na program gani?
chunguza language ya web site yao, banking system nying wanatumia Oracle Database, pia kuwa member wa bank hiyo. jiunge na online banking yao kisha chunguza njinsi transaction zinavyofanyikNataka kuhack banking systems zinazotumiwa na mabenk nchini itanibidi niwe na hizo program kwanza? Nitaweza vipi kujua codes za system hizo kama mimi sio mmoja wa creators wake?
KisomaX
you're here to insult him or to help him copping the situation ?
If you've nothing to say sometimes it's better to shut up the fucking mouth bro.
i bet for it, you're not serious, i don't know you like that, actually maybe you've pissed with too much alcohol today, coz your comments gives me eyes cancer.
Fanya uchunguzi ili kutambua system ya account hiyo inatumia database ya aina gani, kama ni RDBMS (Oracle ,mysql,sqlite,sybase,microsoft acess etc ) anza kujifunza SQL in general kisha hamia kwenye database husika.
chunguza ili kutambua hiyo mail site imeandikwa kwa language gani , kama uzijui anza kujifunza hizo language, pia tambua database wamayotumia
chunguza language ya web site yao, banking system nying wanatumia Oracle Database, pia kuwa member wa bank hiyo. jiunge na online banking yao kisha chunguza njinsi transaction zinavyofanyik
Wakuu,
Uhacker ni kipaji cha kuzaliwa au ni kitu chakujifunza!?
Kama ni cha kujifunza nisome kozi gani ili niweze kuwa hacker!?
simple!
unahitaji kujua computer halafu uwe na muda wa kutosha kisha uwe na kifurushi cha kutosha then ingia google andika au type hii sentensi: "how to become a hacker" au "how to become a hacker step by step" baada ya miezi miwili ya kusoma maelezo utakayo pewa utaweza kufanya elementary hacking. alternatively nenda training inayoitwa Ethical Hacking then utachagua kama uwe mtaalam wa kuwakamata hackers up ate pesa au uwe jambaziwa mtandaoni. kazi kwako!
kama unisoma vizuri nazungumzia professional hacker nikasema like me
nikasema professional hacker ni mtu yeyote mwenye ujuzi wa kiwango cha juu ktk mifumo ya compture nikamtaja stive jobs, bill Gates ni ma professional hacker's professional (ethical) hackers they protect computer systems from dangerous intrusions professional (ethical) hackers are technically skilled in IT pros with strong desire to solve problems and prevent malicious hackers from causing demage to network system
I never met a really hacker who called himself like that.
but i just tend to meet with idi0t kids who passionate on it and trying to call themselves hackers.
Am going to drop you on that group but am sorry.
Jobs alijulia wapi Programming ?
hebu acha utoto we're not under ten ish.
The question is, how do you gain access? How do we fool JF to believe that this is Invisible who is logging in? Ethical Ninja CEH, snipa hivi mshawahi kufanya ka profilling ka JF au kuisoma vbulletin?
Wakuu,
Uhacker ni kipaji cha kuzaliwa au ni kitu chakujifunza!?
Kama ni cha kujifunza nisome kozi gani ili niweze kuwa hacker!?
myb unakata kubishana na kuonekana unajua zaidi bt nikwambie k2 real professional huwa awashindani kitoto like that wanashindana in professional way and am in that side so I don't want to waste my time en energy with you am done with you .
Mkuu usipende kuwatisha watu na maneno unayoyapata google.
Ungenijibu Jobs alisomea wapi programming ningekuelewa, ila sio kama unavyo/ulivyodanganya watu hapa.
Mi sina profession yeyote ile.
lakini nachukizwa na wale wanaodai kuwa ni hackers wakati ukiwaangalia kwa jicho latatu utaona what is behind the scene.
My self mtu akinitambulisha kwa watu kwamba am a hacker siwezi bisha kwasabu kasema alichokiona,
ila ukiniuliza kama mm ni hacker ntakwambia NO, am just a computer nerd who waste time on reading and practicing different things.