hahahaha bro umenikumbusha mbali wakati mwalimu wangu ananifundisha hacking aliniambia if you want to be a hacker or you a hacker there iz three rules you need to follow 1.Dont talk about hacking club 2.Dont talk about hacking club 3.Dont talk about hacking clubNjia tatu zakuanza ili uje kuwa hacker ni hizi.
1- Soma Programming languages.
2- Soma Programming languages.
3- Soma programming languages.
nadhani mkuu chief mkwawa ameshafafanua vya kutosha bt kama unataka kuwa professional hacker like me tafuta kitabu kinaitwa HSE (hacking secrets exposed) cha srikanth ramesh kitabu hicho kitakusaidia katika nyanja zifatazo
kitakufunza codes&tricts za hacking
kitakufunza kujilinda zidi ya hackers au cyber threat
kitakufunza jinsi ya kutumia OS (operating systems)
lunex mint, obuntu, windows, macintosh osx, fedora
kitakufunza language of programming
python, java, oss (open source software) c plus plus
wewe kama nani? mtumiaji wa kawaida, webmaster, app developer, engineer nk. wewe ni nani?
nadhani mkuu chief mkwawa ameshafafanua vya kutosha bt kama unataka kuwa professional hacker like me tafuta kitabu kinaitwa HSE
heshima kwako mkuu,
Hapo kwenye red, please naomba nije PM unieleweshe on some basics kuhusu area hiyo. Kuna kitu nahitaji kujua kaka.
Mtumiaji wa kawaida
Very amusing to see someone call himself a hacker !
Heshima kwako mkuu, hicho kitabu softcopy yake ipo?nadhani mkuu chief mkwawa ameshafafanua vya kutosha bt kama unataka kuwa professional hacker like me tafuta kitabu kinaitwa HSE (hacking secrets exposed) cha srikanth ramesh kitabu hicho kitakusaidia katika nyanja zifatazo
kitakufunza codes&tricts za hacking
kitakufunza kujilinda zidi ya hackers au cyber threat
kitakufunza jinsi ya kutumia OS (operating systems)
lunex mint, obuntu, windows, macintosh osx, fedora
kitakufunza language of programming
python, java, oss (open source software) c plus plus
hata mtaani unaweza kujifundisha, ila sio kitu cha kujua wiki moja au mwezi itabidi uvumilie miaka wakati unajifunza. kuna youtube, kuna material mengi tu. hakikisha tu unapata internet na computer nzuri. anza kujifunza vitu vidogo na basics za software na website.
Mkuu, unamaananisha Hacking ni kipaji cha kuzaliwa? kama football?wanasema you cant run away from technology, mahacker wakali walioweza kuhack institution nying za usa pamoja na pentagon mmoja wapo ni gary mckinnon aliyesema lengo lake ilikuwa ni kuprove uwepo aliens na anadai aliweza kuprove kutokana na information alizopata, ila alikamatwa wakajua alipofanyia hyo kitu, sidhani kama ni wazo zuri ingawa kwa tz huenda ata usikamatwe, ila ninachojua unaweza kusoma computer science bado usiweze, akina bill gates walianza kufanya coding bado wapo high school na wakaweza kuzisoma code za magemu ata wakawa wanashinda tu game hzo, utundu ndo kila kitu, na kuhack ni hatari na sio rahis ni hesabu.
izzo tunaweza kufanya business?
Inabidi usome. There is no other option. Zipo free resources nyingi sana, na hardware required inategemeana na platform unayotaka kuhack into mfano 802.11 /WiFi, Bluetooth na ZigBee encryption, GSM hacking, Web Apps e.t.c. Ni lazima uijue platform hiyo husika vizuri kwanza kabla hujaweza kuhack otherwise utakuwa script kiddie. Kama utakuwa software hacker, lazima ujifunze programming to a very advanced level. Mfano ili uelewe the buffer overflow attack in C, lazima uijue C to a very low level.Nimekuelewa mkuu!
Nawezaje kuupata huo ujuzi 'mtaani'
mkuu kwan unajua nini maana ya hacker ? mtu yeyote mwenye ujuzi wa kiwango cha juu cha comp tech ni hacker mfano bill Gates, stive jobs, ni ma professional hacker's uwezi kujua cyber threat or cyber security bila kujua mbinu za hacking . hapa nazungumzia reverse engineering
Wakuu,
Uhacker ni kipaji cha kuzaliwa au ni kitu chakujifunza!?
Kama ni cha kujifunza nisome kozi gani ili niweze kuwa hacker!?