Kutokana na ushauri niliopata kutoka kwa wadau mbalimbali nimeamua, kununua part moja moja ili niweze kutengeneza pc, kwa ajili ya kucheza magemu ya mapya yenye requirement kubwa.
Naomba kuelekezwa maduka ambayo nitapata hizi components mbalimbali( motherboard, precessor, case n.k) za variety mbalimbali hapa dar, Pia mwenye kujua duka lenye ready made desktop computer kwa ajili ya magemu pia nitashukuru.