Nitawezaje kutumia Laptop kama TV ?

Nitawezaje kutumia Laptop kama TV ?

ISACOM

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
546
Reaction score
415
Je ni king'amuzi gani naweza kutumia kuangalizia Tv kupitia laptop. Namaanisha laptop kuitumia kama Tv kwa kutumia hicho king'amuzi.
 
Kuna software inabidi udownload lakini pia kuna hardware ambayo itabidi ufunge kwenye hiyo laptop.
Hakuna kinachoshindikana. Mwl.RCT anaweza kukusaidia katika hili. Naona ye ana utaalamu sana na haya ma I.C.T
 
Last edited by a moderator:
Je ni king'amuzi gani naweza kutumia kuangalizia Tv kupitia laptop. Namaanisha laptop kuitumia kama Tv kwa kutumia hicho king'amuzi.

# Kingamuzi chochote kile waweza kukitumia katika laptop yako.
# Sharti uwe USB TV tuner
# Mfano wake angali hii picha
attachment_php_attachmentid_184473_stc_1_thumb_1.jpg
 
# Kingamuzi chochote kile waweza kukitumia katika laptop yako.
# Sharti uwe USB TV tuner
# Mfano wake angali hii picha
Sasa hiyo usb Tv tuner inauzwaje?hapa bongo na naipata maeneo gani?
 
Sasa hiyo usb Tv tuner inauzwaje?hapa bongo na naipata maeneo gani?
Nenda kwenye maduka ya vifaa vya computer waambie unahitaji usb tunner card yenye AV in watakupa bei ni kuanzia sh 45000 kwenda juu
 
Je naweza kutumia monitor ya computer kama TV?
Hapa na mimi nasubiria jibu maana nilijaribu kutumia cable ya VGA to HDMI haikuonesha chochote
 
Da me mwenyewe natafuta sana uwo ujuzi wa jinsi ya kutumia king'amuzi kwenye computer mwenye ujuzi atupatie procedure zote ili tuenjoy ase
 
ngoja na mm nijaribu nkifanikiwa kupata na hivyo kifaa ntakujulisha
 
Ila nafikiri hata TV flat siku hizi bei rahisi around 280,000/= unapata TV yako tena ya ku mount kwenye ukuta
 
Unanunua tu tvtuner then unainstall unatumia cables za av kutoka kwenye king'amuzi then you are good to go. Na remote control unaeza tumia.
 
Ila nafikiri hata TV flat siku hizi bei rahisi around 280,000/= unapata TV yako tena ya ku mount kwenye ukuta
umeona eeeeh!hawa jamaa siwaelewi ujue...unawezaje kununua laptop uitumie kama TV ushindwe kununua TV ya kikwelikweli!
 
umeona eeeeh!hawa jamaa siwaelewi ujue...unawezaje kununua laptop uitumie kama TV ushindwe kununua TV ya kikwelikweli!

Mkuu, hapo usifikir mdau anaulizia huo ujuz ili akanunue laptop ndo aje aitumie kama TV bali anataka iwe multipurpose, na hiyo ni very conducive kwa wanafunz huko ghetto!
 
Mkuu nikishanunua hicho kifaa, procedures za ku-configure zipoje?
Hiki kifaa huja na CD ya driver na software yake
  1. Utafanya installation ya software & Drivers
  2. Utachomeka kifaa chako
  3. Utafanya configuration kwa kufuata maelekezo ya kwenye hiyo software
NB: Kwenye source chagua "Composite"
 
Me natumia Pc yangu kama Tv pia mwaka wa 7 sasa.

Nenda mzizima computers kariakoo karibu na police ama duka lolote la electronics na uulizie Tv Tuner au Tv Card. Zipo za USB ambazo unachomeka waya ya USB kwenye port, na ambazo siza USB ambazo hufungwa ndani ya Motherboard ya Pc kama ilivyo RAM. Hii huenda ukahitaji fundi. Kwa urahisi unaweza kuchukua ya usb.

Box lake lina Cd ya software, Card yenyewe, Remote na remote cable. Unainstall Software na Drivers, then ndio unachomeka hiyo kitu kwa USB na unaunganisha king'amuzi chako then utabonyeza kitufe search. utapata channel. unaweza pia kurekodi vitu hata kama haupo na kuicommand isave na hata kujizima itakapo maliza. huwezi miss habari au mpira. utaangalia muda unaoutaka. hope iko poa
 
ina maana natumia ving'amuzi hivi vya kawaida?
 
Back
Top Bottom