kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
According to Haward Gardner talent is the ability in a certain field
Mkuu kufuga nafuga kama kawaida kama nilivyojieleza hapo juu Asante kwa ushauri wakoKwa maisha ya sasa, kua na vyanzo vingi vya vipato ni jambo zuri zaidi ili siku watu wakiamua kua marastafali we unaingiza hela kwenye kuku na mayai.
Cha kufanya, anza kumoja kimoja. Mfano, anza na ufugaji wa kuku na unamuweka kijana anakua anasimamia shoo wewe unakua unacheki tu ata mara moja kwa siku kuona kama mambo yanaenda kama unavotaka.
Pia, kunyoa unaweza kua unafanya weekend.
Kwa vip mkuuukipata shida ndipo utajua kipaji chako ni nini.
Kumbe bhanaukipata shida ndipo utajua kipaji chako ni nini.
Sasa kama Mwalimu hujitambua unafudishaga ujinga gani huko shuleni? Hii ina shida kila kona.Najua kunyoa bila kufundishwa na mtu Yan kutumia mashine, nafanya biashara za kupiga picha wateja wanapenda kazi yangu, nafuga kuku pamoja na ngurue, wanaenda vizuri, napenda kujumua vitu mjini nakuja uza vijijin kutatua8 shiida za raia biashara Safi, pia nikiwa darasani watoto wanakubali Sana kazi yangu mwaka huu nimetunukiwa bahasha nono kwa kutoa A katika somo langu..nipo private
Najua humu wapo Wana saikolojia sahihi napenda nifanye Moja wapo kwa viwango vya juu zaidi Kati ya hizi kipi hasa kipaji changu? Au nikomae na vyote salon nilisitisha kidogo kwa Sasa
Hahaha
Ability ya aina yoyote tu ni kipaji mkuu? Ukiwa na uwezo wa kucheza mpira au kuendesha baiskeli ni kipaji?According to Haward Gardner talent is the ability in a certain field
Kama mwalimu hujui kipaji chako je hao wanafunzi unaowafundisha utaibua vipi na kuviendekeza vioaji vyao.Najua kunyoa bila kufundishwa na mtu Yan kutumia mashine, nafanya biashara za kupiga picha wateja wanapenda kazi yangu, nafuga kuku pamoja na ngurue, wanaenda vizuri, napenda kujumua vitu mjini nakuja uza vijijin kutatua8 shiida za raia biashara Safi, pia nikiwa darasani watoto wanakubali Sana kazi yangu mwaka huu nimetunukiwa bahasha nono kwa kutoa A katika somo langu..nipo private
Najua humu wapo Wana saikolojia sahihi napenda nifanye Moja wapo kwa viwango vya juu zaidi Kati ya hizi kipi hasa kipaji changu? Au nikomae na vyote salon nilisitisha kidogo kwa Sasa
Ujasiliamali sio kipaji ni taaaluma na uzoefu.Wewe ni entrepreneur endelea kupambana hicho ndio kipaji chako.
Vuta bangi nyingi kipaji kitaonekana automaticallyNajua kunyoa bila kufundishwa na mtu Yan kutumia mashine, nafanya biashara za kupiga picha wateja wanapenda kazi yangu, nafuga kuku pamoja na ngurue, wanaenda vizuri, napenda kujumua vitu mjini nakuja uza vijijin kutatua8 shiida za raia biashara Safi, pia nikiwa darasani watoto wanakubali Sana kazi yangu mwaka huu nimetunukiwa bahasha nono kwa kutoa A katika somo langu..nipo private
Najua humu wapo Wana saikolojia sahihi napenda nifanye Moja wapo kwa viwango vya juu zaidi Kati ya hizi kipi hasa kipaji changu? Au nikomae na vyote salon nilisitisha kidogo kwa Sasa