Kama kumove apps ingia kwenye settings - application- manage application- kisha chagua baadhi ya application move kwenye memory card mfano google service,whatsapp,jf and so on ila kuweka sd card kama install location download hii
https://www.dropbox.com/s/pzhmrprqmg811as/adb-setup-1.3.exe. Kisha install ikimaliza utakuta shortcut kwenye desktop kisha weka USB debugging enabled ili kuweka on ingia settings-applications-development-usb debugging weka tick kisha open hyo adb then copy and paste hii command"ukiandika adb device press enter utaona cm yako imetokea kisha weka hii command" adb shell pm set-install-location 2 " press enter tayar ukitakakujua kama settings zime kubali weka hii command" adb shell pm get-install-location kisha press enter utaona install location ni namba 2 yaan namba 1 ni internal na 2 ni external copy command kama ilivyo