Kama unaogopa S4 clone usiende kununua Simu duka ambalo halina Label ya Samsung Authorised dealers
Sasa wewe kanunue simu ya Samsung Kariakoo mle utapigishwa clone
Kwa level yako ukitaka kuangalia Simu ya Samsung fake nenda katika Simu Settings>>>>>More settings
Ukiwa hapo angalia chini kama kuna neno KIES VIA WIFI
Maana ke hiyo simu ya samsung ndo maana ila support SAMSUNG KIES
Angalia applications za Samsung kama zimewekwa e.g Galaxy apps(jaribu kuifungua pia uone kama ita support samsung acct)
Mengine ni complicated kama haujawai Igusa clone uone tofauti
To make life simple nenda kununua hiyo simu Mcity duka la Samsung
Au Nenda posta maduka yenye label ya Authorised dealers of Samsung mara zote hawa watu sijawai wakuta wakiwa na simu ya Clone
We ipe tu wifi au line yenye bundle nenda settings>more>About device>software update>update ikikwambia connecting server for checking updates na ikakupa jibu basi hiyo orginal