Nitawezaje Kufufua flashi iliokufa?

Nitawezaje Kufufua flashi iliokufa?

Tumia Easeus partition manager, ikishindwa hiyo basi chimba shimo uizike hiyo flash maana haitawezekana popote
 
Kama unaishi dar es salaam, nipigie nikutengenezee flash yako ..kuitibu Flash moja ni tsh 2,000 punguzo unaongea .... Namba yangu ya simu ni; ‭0620828212‬
 
Back
Top Bottom