Nitawezaje Kufufua flashi iliokufa?

Nitawezaje Kufufua flashi iliokufa?

Kabilimya

Member
Joined
May 25, 2017
Posts
73
Reaction score
24
Wana tech...naomba msaada ninaflash yang imegoma kuformatika...inaniandikia window canable to complite the format.

Nitumie njia gn ili kuformat flash zilisho shindikana?
 
Nyingi huwa fake, gb 64 kwa buku tano, hayo ndo madhara yake, ila ngoja waje wajuzi wa hii kitu.
 
Wana tech...naomba msaada ninaflash yang imegoma kuformatika...inaniandikia window canable to complite the format.

Nitumie njia gn ili kuformat flash zilisho shindikana?
sijaelewa maneno haya (yang, canable, complite)....... kama kweli flash imeandika hayo maneno basi ni fake na haiformatiki kbs!!
 
Kama imekataa kusoma,ipe shba na jembe ikaanze maisha. By ™hatuelewi.
 
Back
Top Bottom