Nitawezaje ku-Download game kwenye PC ?

Nitawezaje ku-Download game kwenye PC ?

kama unatumia window 8 na kuendelea, say 8.1...ingia kwenye store app katika start menu ya pc,fungua,then utaona kuna section ya Games,chagua top free......Kisha sasa anza kushusha games za kutosha!!!!
 
tumia torrents tu search jina la game unalotaka kwenye google huku ukiandika neno torrents mwishoni mfano Download FIFA 14 on torrents alfu search kwenye google
 
Back
Top Bottom