social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,104
- 1,262
Mambo vipi hope mko poa
personal,nimekulia maisha ya kawaida kijijini baada ya ku hustle kdogo nimezipata si haba,totoz wanajisogeza sna mpaka sasa ninao kama 7 active kutokana na kuwa na maisha mabovu hapo awali sikuingia tkt relationship jamaa zangu walinionya sna kuhusu watu hawa sometime wanaharibu future, kimbembe kipo sasa napokea simu sna mpaka nachoka asee
nipeni ushauri wakuu am confused asee