Nitaweza kweli...ooooh,god strengthen me!

Nitaweza kweli...ooooh,god strengthen me!

khetewesa

Senior Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
112
Reaction score
25
wanajukwaaa

Hatimaye nimempenda dada mmoja....nimefunguka vyakutosha sijapewa direct response,japo naongea naye vizuri tu. nimependa kwakumaanisha coz nataka nifanye maamuzi yakumuoa,to me is like a last resort in decision concerning marriage bt yeye ashawahi penda na hakupendwa as like katendwa...anahofu namimi,na anasema hataki kupenda tena.msaada wamawazo nitafanikiwa kweli?what can i do aniamini kuwa nimedhamilia!!ila pia nifanye nn arejeshe upendo kwangu?

ushauri wanajamvi...kama huna lakushauri we pita tu si ulushe maneno yaajabu ajabu!!!!!
 
Mwambie kuwa unataka kumuoa na uko tayari kujitambulisha kwao. Usiombe game, atajua ni walewale. Wakati huo huo usiwe bahili just try to make her happy . Mpe zawadi za bei ya kawaida.Mwalike kwa mitoko(outings) maeneo ambayo sio hatarishi mfano beach, restaurant hata kwenda shopping,nk. Hapa namaanisha usimwalike maeneo yenye gesti/hoteli za kulala atajua unataka kula mzigo. Akikubali mtoke, epuka kumshawishi kunywa pombe unless anataka mwenyewe asije akafikiri unamuandalia mtego. Hata ikitokea akanywa mrudishe kwao salama bila kumgegeda. Pia mkiwa mnapata vyakula na vinywaji usiongelee tu mapenzi jitahidi kuongelea mambo ya kawaida ya maisha.Mfanye kama rafiki kuliko mpenzi. Epuka kumshikashika kihasarahasara. Labda kum hug na kumshika mikono basi. Majonjo mengine yatafuata baadaye. Uwe mvumilivu sana baadaye anaweza kujenga imani na wewe. Kisha ndoa.
 
hebu jaribu kumwambia kuwa, hautomgegeda mpaka utakapomuoa, then msikie atasemaje!

kutendwa kwa mwanamke ni pamoja na kuvuliwa chupi hovyo hovyo na kufumania mwenzi wake akiwa na wengine!

mwahidi kutokumgegeda pamoja na kubaki njia kuu..... mean it when you are stating it to her.
 
Kaumizwa huyo mwanzoni wewe jitahidi kuonyesha kuwa unamjali, itachukua muda lakini kitaeleweka
 
wewe ndo mwenye maamuzi sisi hatumjui bi dada...

chunguza kwanini hawaamini wanaume,aligegedwa afu akaachika,alimfumania,nini ambacho hapendi

action talk more than word
hakikisha unateka hisia zake kwa kutuma akil ya kiuanaume sio pesa zaid hadi aone umuhimu wako kwa kila namna,onyesha upendo,kumheshimu,ukarimu,kumjulia hali mjali kwa kila namna utakavyoweza but make sure usiweke allot of promise
 
Arejeshe upendo kwako, kwani aliwahi kupenda awali?

Msome tu uone kama ana ka hisia hata kadogo. Kama kapo usimpe nafasi, kuwa karibu yake hadi aone umuhimu wako hivi hapa unakuwa unamjengea kukutegemea kihisia. Ukishaona amekuzoea kila saa anakutafuta, jua ushapata maksi. Mkumbushe unachotaka kwake ni penzi, afu ukiona haeleweki, anza kumpotezea. Mpotezee hadi a feel absence yako, hofu ya kukupoteza lazima 'aelekee kibra'
 
Arejeshe upendo kwako, kwani aliwahi kupenda awali?

Msome tu uone kama ana ka hisia hata kadogo. Kama kapo usimpe nafasi, kuwa karibu yake hadi aone umuhimu wako hivi hapa unakuwa unamjengea kukutegemea kihisia. Ukishaona amekuzoea kila saa anakutafuta, jua ushapata maksi. Mkumbushe unachotaka kwake ni penzi, afu ukiona haeleweki, anza kumpotezea. Mpotezee hadi a feel absence yako, hofu ya kukupoteza lazima 'aelekee kibra'
[h=1]ndioalishawahi penda awali.

nimekupata sana!asante
[/h]
 
mwambie kuwa unataka kumuoa na uko tayari kujitambulisha kwao. Usiombe game, atajua ni walewale. Wakati huo huo usiwe bahili just try to make her happy . Mpe zawadi za bei ya kawaida.mwalike kwa mitoko(outings) maeneo ambayo sio hatarishi mfano beach, restaurant hata kwenda shopping,nk. Hapa namaanisha usimwalike maeneo yenye gesti/hoteli za kulala atajua unataka kula mzigo. Akikubali mtoke, epuka kumshawishi kunywa pombe unless anataka mwenyewe asije akafikiri unamuandalia mtego. Hata ikitokea akanywa mrudishe kwao salama bila kumgegeda. Pia mkiwa mnapata vyakula na vinywaji usiongelee tu mapenzi jitahidi kuongelea mambo ya kawaida ya maisha.mfanye kama rafiki kuliko mpenzi. Epuka kumshikashika kihasarahasara. Labda kum hug na kumshika mikono basi. Majonjo mengine yatafuata baadaye. Uwe mvumilivu sana baadaye anaweza kujenga imani na wewe. Kisha ndoa.

100% correct, chukua huu ushauri!!!!
 
Back
Top Bottom