Nitaweza kwa uwezo wa PC ku-install GTA V

Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
290
250
Pc yangu ni hp pressario CQ56 yenye processor ya pentium dual core T4500 WITH 2.30gh pia ram yake ni Gb 4. Nataka install Gta V, Je nitaweza kwa uwezo huo wa PC yangu?
 

racka98

Senior Member
Jul 7, 2020
185
250
Hapo ni shida mzee. Hasa ukiwa huna dedicated graphics na GTA V inataka at least 8GB RAM
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom