Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Hawa jamaa hapa chini wana umaarufu kwenye anga zao....natamani niwaone sura zao. Nitawapataje wajameni??
MICHEZO MICHEZO: Saint Ivuga, Crashwise, Gang Chomba, Katavi, Balantanda, Anselm, Masuke, TIQO, ndetichia (mzee wa Msimbazi na Chamazi kwa pamoja), Mzee wa Rula, Ta Muganyizi, PrN-kazi, Mphamvu, Makoye Matale na wengine wengi tu.
VIJIMAMBO / ORIGINO KOMEDIANI: Boflo (huyu ni hatare!), Mbuzi Mzee, Allien, Bujibuji, Mzizi Mkavu, charger, etc. Kuna yule mmoja alikuwa anamwaga sana mapicha hapa jamvini lakini sasa kapotea kipindi....ID yake imenitoka!
MALAVIDAVI: Erotica (wewe sikuwezi!), Mtambuzi (mh!), Kongosho, Kaunga, Preta, Bigirita, Bishanga, Mzee Mwanakijiji, King'asti. Hii list ni ndefu wee acha tu!
UCHAMBUZI NA MAPOLITIKI: Mkandara (namwitaga mzee wa busara huyu), Mchambuzi (kada), Mzee Mwanakijiji, Pasco (aka nanilii!). Hawa ni just a tip of iceberg kutoka kwenye hazina ya wamwaga nyanga wa JF!
ALL ROUNDERS: Father of All
Nitawapataje uso kwa uso?
Check location yangu then find me...
Misifa kama muhaya...
Hah hah hah mphamvu unanifurahisha sana kampeni yako ulioanzisha juu yangu.
Nani ameanzisha kampeni?
Mimi nafunguka ya moyoni, wewe unajistukia...
Kama unayoyaandika yametoka moyoni basi moyo wako hauna tofauti na wa Kenge...anayekimbia manyunyu ya mvua ili asilowane kisha anakimbilia kudumbukia Mtoni.
Haja kubwa ya mchanganyiko wa ugali-ng'onda halafu ukashushia na kangara ni chanzo kizuri cha bayogesi, sasa huwa yanachanganya utendaji wa mwili hasa ubongo.
Sasa em fanya ukakate gogo halafu utajisikia vizuri ndo urudi hapa...
Ndo maana nikakuuliza na wewe ni Great Thinker?
rudi Facebook mjomba, kule ndiko kuna wenye hadhi yako, huku mbali sana na ndio maana unapata tabu.
Acha kukurupuka na kupapatika.
Hawa jamaa hapa chini wana umaarufu kwenye anga zao....natamani niwaone sura zao. Nitawapataje wajameni??
MICHEZO MICHEZO: Saint Ivuga, Crashwise, Gang Chomba, Katavi, Balantanda, Anselm, Masuke, TIQO, ndetichia (mzee wa Msimbazi na Chamazi kwa pamoja), Mzee wa Rula, Ta Muganyizi, PrN-kazi, Mphamvu, Makoye Matale na wengine wengi tu.
VIJIMAMBO / ORIGINO KOMEDIANI: Boflo (huyu ni hatare!), Mbuzi Mzee, Allien, Bujibuji, Mzizi Mkavu, charger, etc. Kuna yule mmoja alikuwa anamwaga sana mapicha hapa jamvini lakini sasa kapotea kipindi....ID yake imenitoka!
MALAVIDAVI: Erotica (wewe sikuwezi!), Mtambuzi (mh!), Kongosho, Kaunga, Preta, Bigirita, Bishanga, Mzee Mwanakijiji, King'asti. Hii list ni ndefu wee acha tu!
UCHAMBUZI NA MAPOLITIKI: Mkandara (namwitaga mzee wa busara huyu), Mchambuzi (kada), Mzee Mwanakijiji, Pasco (aka nanilii!). Hawa ni just a tip of iceberg kutoka kwenye hazina ya wamwaga nyanga wa JF!
ALL ROUNDERS: Father of All
Nitawapataje uso kwa uso?
Tisha-TOTO nipo kijana wangu! Majukumu tu yamekuwa mengi.VIJIMAMBO / ORIGINO KOMEDIANI: Boflo (huyu ni hatare!), Mbuzi Mzee, Allien, Bujibuji, Mzizi Mkavu, charger, etc. Kuna yule mmoja alikuwa anamwaga sana mapicha hapa jamvini lakini sasa kapotea kipindi....ID yake imenitoka!