Na shemeji unaenda nae au yeye unatuachia tuwe tukutunzie........😵Hahahaha
Huyo ndio shem wenu.
Mume mtarajiwa
Kho Kho KhoSawa sweetie roho yangu siwezi kuondoka alafu ww nikakuacha humu peke yako vyakula vitamu atanipikia nani
Hahahaha lollHahaha
Yaani, nilijua nikiamka ntakuta tayari ila mshika kibendera nae alidoji aisee
Hongera Mamaabestieee ndo uyouyo anajifichaga tu
LolUna midomo mizuri Malkia
Basi Sawahakiyamungu yaan
Hahaha mzim kipenziiHahahaaa! Uzi umefanya watu wasilale.
Mzima my.
HahahaIam crazy over u.
Ngoja nihesabu k
Acha hizo bhanaSawa boss.
SubutuuuNa shemeji unaenda nae au yeye unatuachia tuwe tukutunzie........😵
Hayo ndo manenondo Mana na yy alitaka kujitoa ,nmemwaambia tujitoe wote laasivo ntapokonywa
Aiseeam here for u darling.luv u 2da moon n back
Half tenaaaaNiko half half naona
JamaniiiiYan Bora mzuie akitoka to laxma na mm nitoke