Tupilia mbali vyakula ile niki-like tu msosi wako nitakuwa nimeshiriki kula jaman ni pm basiInsta nmeeka posts za vyakul tu,nahis wanaume hazitowafaa
You will be missed and remembered for your betrayal to quit JF, R.I.P however
Hahaha,sas mbn unanibania si unambie tu,ili nkiondoka angalau niondoke nkiwa na furaha
Kama unataka kuuona ongeza kawiki angalau nipate nguvu ya kuandika. Ila maisha bhana nilikua kwenye mchakato kubadili dini ili tuende sawa
Siku Numbisa akiaga JF mimi najinyonga!Hee jana sky kaaga leo wewe jamani. Mbona hivyo!!??
Hahahaha really!!!Tupilia mbali vyakula ile niki-like tu msosi wako nitakuwa nimeshiriki kula jaman ni pm basi
Sjamkwapua jf mwanaume yyte yule,he is out of jf ,nmejuana nae nje not here.Ni yule boyfriend wako uliemkwapua hapa JF ndo amekushauri ujitoe JF jamani?.......... Sifa na utukufu ziende pm kwa kufanya kazi nzuri!
Lol kisa na mkasaNikija pm usiponiachia namba ya simu utakua umenikosea sana.utajitafutia laana
Nmewazoea pia mpendwa,ntawamiss more than ya sanaaaaMmh wa pili ww
mbona mnatufanyia hivyo tumewazoea mjue
Hahaha ndo nimekwambia ongeza kawiki kamoja, unafikiri kushawishi mtu muwe mwili mmoja ni kitu rahisi. Huwezi kuamini ni wiki ya 3 sasa naandika uzi mwisho naufutaHahaha,sas mbn unanibania si unambie tu,ili nkiondoka angalau niondoke nkiwa na furaha
Nmewazoea pia mpendwa,ntawamiss more than ya sanaaaa
Hahahaha duhh pole sana,kwaio unataka niondoke bila ya kujua iko kituHahaha ndo nimekwambia ongeza kawiki kamoja, unafikiri kushawishi mtu muwe mwili mmoja ni kitu rahisi. Huwezi kuamini ni wiki ya 3 sasa naandika uzi mwisho naufuta
Asante mpendwakila la kheri love
Hamna shida yoyote mkuuDah mkuu nini shida?