Yupo kule wa mwisho ndo mshindiNtaulizia kwa jirani kama ameonekana.
Hawez ila akiamua kujitoa sina shida maana yuko mikononi mwanguKuna namna.
Naskia stun kashajitoa eti
Ahaa,sawa bwana......simaliziiNafunga kwa sababu za kiafya, kufunga kuna manufaa kiafya.
Na sifungi Ramadhani.Nafunga mwaka mzima.
Mimi siamini katika kuwapo kwa Mungu.
Si ww huishiwi vitukoHilo cheko Vipi
Wacha weeHawez ila akiamua kujitoa sina shida maana yuko mikononi mwangu
Haaaa hata huku tenaaaaa
Hiyo keyboard vipi? Maana mpaka inatabiri maneno kabla hujamaliziaYaani sijaelewa kabisaa
Kumalizana Nini tena Kaka Daby
Wacha wee
Unamrusha Arabic kwini roho eeeh
Mwche shemeji yangu afurahi bwana. Wewe usimtake yule mimi nipohahahaha unataka nianzishe wakat nshayafukia
Umepambana si haba. Hecko1k tayari
Mapumziko kwanza
FafanuaNiachie huyu kwini wa kiarabu bwana
Ewaaaa
Hapo umenena shemeji, sasa kadi naituma vipi
Nasema. Muhongo kajiuzulu janaFafanua