Natamani nipate access ya member wa jf zaidi ya 2k ndani ya dakika 10 ubaki hata kwa kufoji.najua sana
Sa si mpaka niunde tumeeHahaha bestie yani mpk nibaki zitimie izo 2kla sivo kesho sipo
Mie basi bora nianze tuuNipambane nini sasa wakati kila kitu kipo tayari.
Ngoja mfungo ukwishe ningize jiko ndani.
Taratibu tutafika tu. Hata tubaki wawili.
Na bado hatujaila hata robo...Babu mie sio wa kukuua wewe jamani...
Si unajua pension tulikula wote
Haiwezekani tubaki wawili bhanaTaratibu tutafika tu. Hata tubaki wawili.
Tuta type hata kwa macho leo.Hahahaha
Sakayo weweeee
Mwenzako kama kachoka kutyp je
Eti pambana
ahaaa m nakula tu mungu yupo maana ilo nalo janga yakikuta ahaaaBasi Sawa
Kama nyau hutomjua we ni changamoto, kula tu
Yule ndo L anamalizia mahariNaye anawolewa lini maana kila siku ananidanganya.
Hahaha
Poa Poa tajiri
Hahaha
Natamani nipate access ya member wa jf zaidi ya 2k ndani ya dakika 10 ubaki hata kwa kufoji.
Anachokaje kwa mfano..Hahahaha
Sakayo weweeee
Mwenzako kama kachoka kutyp je
Eti pambana
Katafute bhasi, tutawapa soda jumamosiNatamani nipate access ya member wa jf zaidi ya 2k ndani ya dakika 10 ubaki hata kwa kufoji.
Punguza masharti basi. 1.2k angalaunmewapenda bure kwakweli,
Nacheka mpk nalia ,si kwa kucheka huku