Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
-
- #661
Hahaha si wako jamani..kuku wako unamlinda kwa manatiWetu tena?
Yaani hadi raha...huachiii,unaniumiza mbav mie
NambaHa ha ha ha nin hyo aisee
Nakuonaa nakuonaaaHahaha alafu weweeee
Hana hela huyoooananifukuze kabla ya masaa kufika
Naomba utuongezee hata ka wiki tutembetembe humu jf sio unavyotuaga kwa gafla hivi maana hadi kimeo changu hiki kilizima nilivyoona huu uzi.
Utani dropia username.staki povu.muacheni hukohuko,,au mmesahau kama kesho naondoka
HahahaMbn haya mapenzi hata kutoka jf kichwa chauma
Nyimbo swaafiiHahaha naona unaimba ile nyimbo
Wacha ale tu sina hofu naye kwa kuwa najua kesho jioni anasepa.
Simpi yaan
Thank u,sema lady queen,sijafika kua mamaKwaheri ya kuonana mama Queen....kila la heri