Shaloom Sanga
Member
- May 20, 2017
- 52
- 36
Wataka kuniumiza mbavu weweAnaongea na simu
We kama Vipi ukitaka kuchekaaa njoo nikupe id yangu basiNicheke ninenepe kwa Mara ya mwishoMana nkitoka hapa sjui ntakenulia wapi tena
Akimaliza atakupigia tuu, Ngoja tumsubiriWataka kuniumiza mbavu wewemm nahis anaongea na computer
Unaingia kwa shemej zako unawaambia Nan anijazie nimjaze hapo umeishiwa vocha unafikir watasemaje
We kama Vipi ukitaka kuchekaaa njoo nikupe id yangu basi
Sakayo left
Kumbe WAtu mshavuka server ZA maxWw si Kila siku tunawasilianaunajidai kusikitika
Kabisa yaani mana ukiangalia mwisho wa kuingia humu ni kesho jioni.Acheke tu mamy, maana hamna namna ingine
Hahahaushaleft shoga ntatumiaje io Id yako
Ndio maana sitak hayo maswalaHa ha ha, hapo kinanuka aisee.
Ukuu ndo nn eti kw mfano
Mbona mie huniambii nicheke...Kabisa yaani mana ukiangalia mwisho wa kuingia humu ni kesho jioni.
Hivyo Arabian queen furahi tu rafiki.
Kabisa yaani mana ukiangalia mwisho wa kuingia humu ni kesho jioni.
Hivyo Arabian queen furahi tu rafiki.
Unataka uwadanganye watu baadae kua ww ndio Arabian queenNiachie password ya hiyo id basi
Dah ngoja niongee vzur na mie niwemo kwenye haya mawasalianomnataka waseme muwapokonye bahati
Akwendwee hukoo, hana bandoNaona bado hajamaliza