Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
-
- #261
Mdomo bakuliDaah nilikuwa najipanga kukutokea asee, pliz come back hunie
Sio haki hiiHahaha soon sakayo nae atawakimbia,!mmbaada ya kesho ntakua makumbushoo humu
Jf nmefungua juzjuz tu hayo mambo ya Id mpya mm siyajuagi,coz Id nlokua nayo hii iko fit kabisa,Sion sababu ya id mbilimbili mkuuUnarudi kutumia ile id yako nyingine au unafungua mpya
Hapana siogopi kitu mbonaUnaogopa nn Kwan
Arabean Queen...
Mbaya ni Sakayo anaetaka Ku leftNini mbaya tena
Siyo kwema...kwema tena jamani
Hahahaha Basi mlikua wengiSiyo kwema...
Roho inauma kwa sababu unaondoka humu ndani.
Ukizingatia ulikuwa kwenye target ya moyo wangu!
Bado wewe. Umri umeshakwenda waachie watoto.Mwengine huyu analeft the group daah.
Ile account ya instagram arabianqueen 55 ya kwako pia.Nop ,najitoa mojakwamoja
Kwani na wewe bado. Au mpaka mvi zijae kichwani.Tangulia, na sisi tunakuja.
Nop ile sio yang,ya mwngn,mm nmeandika Arabian girlIle account ya instagram arabianqueen 55 ya kwako pia.
Ulijua Nini
HahahahaKwani na wewe bado. Au mpaka mvi zijae kichwani.
Kwani na wewe bado. Au mpaka mvi zijae kichwani.
Soon ntaaga aisee na mie tukapumzikeBado wewe. Umri umeshakwenda waachie watoto.