Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
Na bei inaweza kunicost tsh ngapi?Watt 50
N40
Itakutosha kabsa.
Sijajua sehemu ulipo. Maana hapo bado kuna vifaa vingine lazima ununue. Kama utahitaji kubadili DC kwenda AC itabidi ununue inverter, pia kuna charger controlNa bei inaweza kunicost tsh ngapi?
Charger controller muhimu sana kwa maisha ya battery zake. Kwakua amesema anataka kuwasha taa mbili na kuchaji simu..hakikisha unanunua taa za sola 12v halafu na chaja ya simu ya 12v hapo utaepuka kununua inventer.Sijajua sehemu ulipo. Maana hapo bado kuna vifaa vingine lazima ununue. Kama utahitaji kubadili DC kwenda AC itabidi ununue inverter, pia kuna charger control
Hapana sihitaji kununua inverterSijajua sehemu ulipo. Maana hapo bado kuna vifaa vingine lazima ununue. Kama utahitaji kubadili DC kwenda AC itabidi ununue inverter, pia kuna charger control
Basi nunua tu solar panel na betri na charger controller pamoja na vitu chanja zako za dc. Ikikupendeza ufanye wiring kabsa ya Solar ili uwe unachomeka tu kwenye switch ukutani. ππHapana sihitaji kununua inverter
Kwa sababu nahitaji tu DC
SAWA MKuu nashukuru Kwa msaada ila bei ndio si jajua bado ila kama una bei za dsm unaweza nitajia maana Kuna sehemu huku kwetu huwa bei zinatofautiana kidogo na za dsmBasi nunua tu solar panel na betri na charger controller pamoja na vitu chanja zako za dc. Ikikupendeza ufanye wiring kabsa ya Solar ili uwe unachomeka tu kwenye switch ukutani. [emoji125][emoji125]
Mkuu sipo Dar kwa sasa.SAWA MKuu nashukuru Kwa msaada ila bei ndio si jajua bado ila kama una bei za dsm unaweza nitajia maana Kuna sehemu huku kwetu huwa bei zinatofautiana kidogo na za dsm