tuwe wakweli
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 223
- 59
- Thread starter
- #21
maziwa ya siku hizi hayakati sumu.....
Yatakuwa sio ya mbwa hayo,njoo ujionee mwenyewe
maziwa ya siku hizi hayakati sumu.....
mwenzio nina magorofa matatu yanatokana na roho mbaya yangu.....
we nini wewe unajifanya hujui
Yatakuwa sio ya mbwa hayo,njoo ujionee mwenyewe
haaaa.....labda ya ngamia ndiyo yanafanya kazi...