Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 Sep 20, 2013 Thread starter #61 uwoya akusanye huu ushahd!
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Sep 20, 2013 #62 BINAMU YAKO said: nimemtoa thamani kabsa !, Click to expand... Ndio hivyo mie hiyo ishu nilikuwa naijua lakin sikujua kama Erick yumo Penye wengi pana mengi ila mchezo aliofanyiwa yule mzee haukuwa POA!!!!!!!!
BINAMU YAKO said: nimemtoa thamani kabsa !, Click to expand... Ndio hivyo mie hiyo ishu nilikuwa naijua lakin sikujua kama Erick yumo Penye wengi pana mengi ila mchezo aliofanyiwa yule mzee haukuwa POA!!!!!!!!
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,457 Sep 20, 2013 #63 skunk said: every day na mikanda yake ya uwongo uwongo eti ujasiriamali hata asemi mtaji kaupata wapi Click to expand... Mie huwa namwangaliaga tu. Eti nilipata mtaji baada ya kupewa pesa na rafikie mzungu...wapiii!
skunk said: every day na mikanda yake ya uwongo uwongo eti ujasiriamali hata asemi mtaji kaupata wapi Click to expand... Mie huwa namwangaliaga tu. Eti nilipata mtaji baada ya kupewa pesa na rafikie mzungu...wapiii!
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,457 Sep 20, 2013 #64 Micharazo said: Mimi mgeni humu... Tz hii ninayoijua mimi yapo haya? Click to expand... Tena yamejaa tele.
Micharazo said: Mimi mgeni humu... Tz hii ninayoijua mimi yapo haya? Click to expand... Tena yamejaa tele.
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,457 Sep 20, 2013 #65 BINAMU YAKO said: naye alimtgo au alishka camera! Then sasa kama ni dingi ake muke ya muzungu ndo alitendewa,how comes mzee wa bamaga anamgwaya ngema ? Click to expand... Lazima amgwaye maana yeye ndio chanzo cha baba yake kujipiga risasi. Hata ningekuwa mimi...
BINAMU YAKO said: naye alimtgo au alishka camera! Then sasa kama ni dingi ake muke ya muzungu ndo alitendewa,how comes mzee wa bamaga anamgwaya ngema ? Click to expand... Lazima amgwaye maana yeye ndio chanzo cha baba yake kujipiga risasi. Hata ningekuwa mimi...
mtz one JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 4,275 Reaction score 1,222 Sep 20, 2013 #66 Madame B said: Lazima amgwaye maana yeye ndio chanzo cha baba yake kujipiga risasi. Hata ningekuwa mimi... Click to expand... tumekumic nyumban Madame B Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Madame B said: Lazima amgwaye maana yeye ndio chanzo cha baba yake kujipiga risasi. Hata ningekuwa mimi... Click to expand... tumekumic nyumban Madame B
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,457 Sep 20, 2013 #67 Katavi said: Aisee.......hii nchi ni zaidi ya mafia wa Italy. Click to expand... Tembea uone zaidi ya uonavyo.
Katavi said: Aisee.......hii nchi ni zaidi ya mafia wa Italy. Click to expand... Tembea uone zaidi ya uonavyo.
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,457 Sep 20, 2013 #68 Katavi said: Heaven on earth yaani hii habari aliyoshusha Madame B imeniacha mdomo wazi, jamaa mbona ni mlokole? Click to expand... Lazima atumie kioo cha ulokole ili kuficha skendo. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Katavi said: Heaven on earth yaani hii habari aliyoshusha Madame B imeniacha mdomo wazi, jamaa mbona ni mlokole? Click to expand... Lazima atumie kioo cha ulokole ili kuficha skendo.
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,457 Sep 20, 2013 #69 mwungwana said: tumekumic nyumban Madame B Click to expand... Jamani nakuja... Mie nina nyumba 4, Habari na Hoja, MMU, CC na JLW, wapi sasa mpendwa mwungwana? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mwungwana said: tumekumic nyumban Madame B Click to expand... Jamani nakuja... Mie nina nyumba 4, Habari na Hoja, MMU, CC na JLW, wapi sasa mpendwa mwungwana?
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 Sep 20, 2013 Thread starter #70 Heaven on earth said: Ndio hivyo mie hiyo ishu nilikuwa naijua lakin sikujua kama Erick yumo Penye wengi pana mengi ila mchezo aliofanyiwa yule mzee haukuwa POA!!!!!!!! Click to expand... acha tu yani ugegedwe mwanaume tena wanakurecord?
Heaven on earth said: Ndio hivyo mie hiyo ishu nilikuwa naijua lakin sikujua kama Erick yumo Penye wengi pana mengi ila mchezo aliofanyiwa yule mzee haukuwa POA!!!!!!!! Click to expand... acha tu yani ugegedwe mwanaume tena wanakurecord?
Bob Fern JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 900 Reaction score 132 Sep 20, 2013 #71 Huyu mtu alishaachwa?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Sep 20, 2013 #72 Bob Fern said: Huyu mtu alishaachwa? Click to expand... Nani.... Uwoya?? Alishaachwa muda mrefu tu.
maatope JF-Expert Member Joined Sep 19, 2013 Posts 1,422 Reaction score 957 Sep 20, 2013 #73 kumbe ndio maana shigongo alishawahi kutibuana na mange..inasemekana alimshika ---- pale new africa hotel
kumbe ndio maana shigongo alishawahi kutibuana na mange..inasemekana alimshika ---- pale new africa hotel
skunk Senior Member Joined Aug 11, 2013 Posts 166 Reaction score 27 Sep 20, 2013 #74 Katavi said: Aisee.......hii nchi ni zaidi ya mafia wa Italy. Click to expand... wa Lebanon kibao wamejaa humu wakichora ramani
Katavi said: Aisee.......hii nchi ni zaidi ya mafia wa Italy. Click to expand... wa Lebanon kibao wamejaa humu wakichora ramani
mtz one JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 4,275 Reaction score 1,222 Sep 20, 2013 #75 Madame B said: Jamani nakuja... Mie nina nyumba 4, Habari na Hoja, MMU, CC na JLW, wapi sasa mpendwa mwungwana? Click to expand... nyuman kwetu kwa wakubwa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Madame B said: Jamani nakuja... Mie nina nyumba 4, Habari na Hoja, MMU, CC na JLW, wapi sasa mpendwa mwungwana? Click to expand... nyuman kwetu kwa wakubwa
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,457 Sep 20, 2013 #76 mwungwana said: nyuman kwetu kwa wakubwa Click to expand... Usijali, nakuja mda mda.
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,457 Sep 20, 2013 #77 Nyenyere said: Au hii ndio maana halisi ya "street university?" Click to expand... Hapo chachaaaa...
Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 652 Sep 20, 2013 #78 Jamani hii issue nitapataje kwa mtiririko mzuri?hapa naona imeungwa ungwa nimeshindwa kuipata vyema.
mtz one JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 4,275 Reaction score 1,222 Sep 20, 2013 #79 Madame B said: Usijali, nakuja mda mda. Click to expand... hahaha yan stori unazotoaga nachekaga hata ukiwa haupo
Madame B said: Usijali, nakuja mda mda. Click to expand... hahaha yan stori unazotoaga nachekaga hata ukiwa haupo
Brown ad JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 345 Reaction score 205 Sep 20, 2013 #80 Madame B said: Hapo chachaaaa... Click to expand... mi haka kahabari ka MK na ES ivi vipande vipande vinanipa shida nataman ningeipata mtiririko mzuri maana donge la umbea limenikaba balaa
Madame B said: Hapo chachaaaa... Click to expand... mi haka kahabari ka MK na ES ivi vipande vipande vinanipa shida nataman ningeipata mtiririko mzuri maana donge la umbea limenikaba balaa