tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
View attachment 183121 siku hizi kumekuwa na ongezeko la bidhaa feki kila siku , bidhaa hizi maarufu kama bidhaa za kichina zimekuwa kero kwa watu wengi,leo ningeingia kwenye simu za mkononi aina ya samsung galaxy nitaitambuaje kama feki au orginal 1: ni thamani yake ,pichani ni aina ya simu iyo orginal thamani ni kati ya tsh400000 na 600000 ambapo kama feki thamani yake ni tsh 150000 na tsh200000 ila kikubwa ni kupatikana kwa picha ya mbwa amelala pindi ukibonyeza *#0*# ok. Na kama feki iyo picha ya mbwa aitotokea,kuwa makini mkuu