Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,721
- 272,662
Hapana, nimempa angalizo tuNaye kaunga mkono juhudi? Ila nadhani tuwaache tu waende uzuri wale chadema maslahi wanajichuja ili wabaki pure ambao wapo serious na mageuzi kuliko hawa waliopo chadema kusubiri bahasha za maridhiano, ubunge, na udiwani pekee.
Hii biashara haramu imeanza tena halafu naona kama inashika kasiNakufahamu kwa namna ulivyopigania Chadema kwa muda mrefu tena kwa gharama ya damu
Ulifungwa jela kwa kesi ya uongo Ukiwa Pamoja na. Sugu, najua unanifahamu vizuri n.a. unafahamu ushirikiano wetu ulipokuwa Katibu wa Kanda ya Nyasa, naujua uwezo wako na heshima ambayo watu wa Njombe wamekupa
Nitashangaa sana Ukisaliti siasa za Ukombozi.
Mkuu Wacha wanaotaka kuondoka waondoke, maana wakibaki itakuwa tatizo. Kama Slaa, Msigwa, Halima Mdee nk walizingua, itakuwa huyo. Kwa sasa iko kwa wananchi sio kwa viongozi wasaka maslahi binafsi.Nakufahamu kwa namna ulivyopigania Chadema kwa muda mrefu tena kwa gharama ya damu
Ulifungwa jela kwa kesi ya uongo Ukiwa Pamoja na. Sugu, najua unanifahamu vizuri n.a. unafahamu ushirikiano wetu ulipokuwa Katibu wa Kanda ya Nyasa, naujua uwezo wako na heshima ambayo watu wa Njombe wamekupa
Nitashangaa sana Ukisaliti siasa za Ukombozi.
Safi sana, sioni haja yoyote wa kuwabembeleza hao Wahuni.Naye kaunga mkono juhudi? Ila nadhani tuwaache tu waende uzuri wale chadema maslahi wanajichuja ili wabaki pure ambao wapo serious na mageuzi kuliko hawa waliopo chadema kusubiri bahasha za maridhiano, ubunge, na udiwani pekee.
Acha kulia lia. Kila mtu ana haki ya kufikiri anavyotaka😁Nakufahamu kwa namna ulivyopigania Chadema kwa muda mrefu tena kwa gharama ya damu
Ulifungwa jela kwa kesi ya uongo Ukiwa Pamoja na. Sugu, najua unanifahamu vizuri n.a. unafahamu ushirikiano wetu ulipokuwa Katibu wa Kanda ya Nyasa, naujua uwezo wako na heshima ambayo watu wa Njombe wamekupa
Nitashangaa sana Ukisaliti siasa za Ukombozi.
Hili sio jukwaa la ccm, hili ni la binafsi, na serekali ya damu imelifungia ili tukose sehemu ya mijadala.Ondoa Makelele yako hapa wewe. Kama unataka nenda nyumbani kwake ukampikie ndio umwelezage na Umbeya wako.
Nyau wewe.Acha kulia lia. Kila mtu ana haki ya kufikiri anavyotaka😁
Sio, hata wewe mwenyewe unaelewa.😎Nyau wewe.
Mwanaccm ni Aibu sana kuingia jf kwa VPNOndoa Makelele yako hapa wewe. Kama unataka nenda nyumbani kwake ukampikie ndio umwelezage na Umbeya wako.
Kama Iran tu au sio. Ua kiongozi huyu anaibuka mungine mtata zaidi.vp mkuu umenusa harufu ya usaliti waswahili husema panapofuka mosho .....
Toa hofu chadema.ina wafuasi wengi sana haiishiwi wanachama
Dogo acha usenge hili jukwaa hunamiliki yoyote kila mtu anapost anachotaka.Ondoa Makelele yako hapa wewe. Kama unataka nenda nyumbani kwake ukampikie ndio umwelezage na Umbeya wako.
Dogo acha usenge hili jukwaa hunamiliki yoyote kila mtu anapost anachotaka.Ondoa Makelele yako hapa wewe. Kama unataka nenda nyumbani kwake ukampikie ndio umwelezage na Umbeya wako.