Halafu nitashangaa nikigundua wewe ni mmoja wa wale madiwani wa Kigamboni wanaopingana na Ndungulile!
Nitashangaa nikigundua Pombekali ndiye Joshua Mulundi na kwamba safari yake ya pande ililenga kutafuta saa ya dhahabu
aliyodondosha akiwa na yule ACP yule
Nitashangaa nikigundua nimewahi kukuona mwenge unagombania zile za bukubuku za jioni!
Kumbe nimeshagundua??? Ngoja nishangae Haaaaaaaaaaaaaaaa! Kumbe wewe ndiwe! ha ha ha
Ungesema bambo ungekuwa umepatia kabisa