Nitarudishaje "Uanaume" wangu?

Ni vizuri kama umekubali tatizo na dawa ya tatizo sio kulikimbia ni kulikabili. Jiamini na uamini ya kuwa unaeza kurudi katika hali yako ya mwanzo kabla haujangia kwenye hayo mambo.

Iko hivi kwa watu waliojiingiza katika kujichua uwezekano wa kutoka upo lakini ukiamua mwenyewe bila wewe mwenyewe kuamua ufikirie tu flani aliniambia niache hivyo hautaweza.

Jichanganye na watu tofauti tofauti sio wenye kupenda kuongelea mambo ya mapenzi na usipende kukaa mwenyewe pia usipende kuangalia porn au video zenye vichochezi ya wewe kurudi katika hiyo hali.

Jiulize kwanini fulani anadem wake mkali na anafanya nae mambo mimi ninaye lakini siwezi kutokana na hii hali yangu then ikatae kabisa fanya maamuzi bila hvyo utajikuta unaishia huko tu.

Uzuri hiyo kitu ukiamua wewe mwenyewe unaweza mazoezi pia yanachangia kukuweka bize maana hautawaza sana hayo mambo.

Pia ujitahidi wakati unaenda kuoga usikae muda mrefu ukijisafisha sehemu zako za siri maana ni kichochezi kimoja wapo au hata muda umepumzika usijishike sehem zako za siri ukiamua unaweza ila usipoamua utaishia kujilaumu kila siku na kuomba ushauri wakati wewe mwenyewe ndio tatizo.

Then ipo hivi kwa mtu anayejichua akiamua kuacha hyo kitu kwa takribani siku 40 basi huyo tayari ameshajinasua, jitahidi kupanga ratiba itakayokuweka bize ndani ya muda huo utafurahia mwenyewe.
 
Nakuhakikishia unapona kabisa,kila asubuh, chemsha maziwa ,glas moja,alafu chukua kitunguu swaum, punje kumi na tano zitwange au zisage, alafu tia kwenye maziwa ,kunywa kila asubuh, kabla hujala kitu, na jioni mda wa kulala siku saba
 
Pole sana mzee, ila ushauri uliopata juu ukiufata amini utakuwa poa kabisa.

Binafsi nilianza form1 mambo cha puchu ila sikufika stage yako chief, ulitakiwa kupiga kwa afya
mimi nina warembo nawapa ipasavyo na siku moja moja nikiamua kukumbushia nakumbushia tu.
 
The Dark, Ushauri wangu upo hivi. Hisia zozote zinaendeshwa na ubongo. Ubongo uruhusu kila kitu kiweze kufanyika kwa wakati na muda sahihi.

Tatizo lako lipo kwenye brain centre ambao brain have already learnt on wat you should do wen having sexual desire. Hivyo basi cha kufanya unaweza kukutana na sexual cancellors waweze kuanza kukupatia brain and mind treatment psychologically.

It may take a long hour session in order the brain to learn again on sex exercise. Psychology treatments inaweza kuendana na baadhi ya madawa ya kuingizia hormone release which stimulate sexual arosal hata ukiwa na mpenzi wako( don't use viagra).

Sexual disorder Rx needs time and learning. Jitahidi mtafute pychologists hasa wa sex practices au unweza kwenda hospital kitengo cha pychiatrics huwa wana vitengo vya psychology treatements. Unaweza anzia hapo then Doctors will direct u what to do.

Sexual disorders are emerging rapidly in Tanzania. Researches shows atleast 5 men appear at the hospital with the same complain and more though many fail to explain it to Doctors.

Work on it!
 
INABID ufanye maombi sana pia uwe una kula vizuri tu vyakula natural na mazoezi Kwa sana
 
Watu wengi wanahangaika na tiba ya upungufu wa nguvu za kiume ila mimi nitaongelea katika suala la kujichua tu (punyeto). Kumbuka mimi siyo daktari wala siuzi dawa. Hii ni elimu tunapeana kama wanaume
Amini hili suala la upungufu wa nguvu za kiume baada ya kuathirika na punyeto linatibika na mimi nimepona. Huu ni ushuhuda wangu 100%. Nilianza tabia ya kujichua baada ya kuangalia picha na video za utupu, nilijichua kwa muda mrefu na madhara yake yalikuwa haya
  • Nawahi kumaliza chini ya dakika 1
  • Uume unakuwa mdogo kama wa mtoto mdogo
  • Sina hisia na mwanamke. Ile hamu ya kusimamisha haipo ipo kwa mbali sana
  • Mapigo ya moyo kupungua hata kutokuwepo. Hii hutokea ambapo unapokuwa na hisia za kujamiana, mapigo hudunda haraka haraka kusukuma damu nyingi kupeleka kwenye uume. Hali hii hutoweka
  • Uume kusimama legelege, huwezi kusimamisha kama msumari kwa dakika 2 na kuendelea.
  • Ukisimamisha na ukapata msuguano kidogo sana, unaweza ukapizi ndani ya boksa. Unaweza ukawa unashikana na mwanamke kimahaba ila ukajikuta umemwaga hata haujavua nguo.
Unajua kuchanganyikiwa kwa mwanaume ni katika hali hii. Nilichanganyikiwa hasa. Nilichofanya
Nilienda hospitali moja ya private (Jina kapuni) huko Dodoma nikamuelezea dokta hivi
1. Nawahi kumaliza, chini ya dakika moja
2. Mimi ni muathirika wa punyeto. Nilikuwa najichua
Watu wengi wanashindwa kupata matibabu kwasababu
A. Hawaendi katika hospitali kubwa. Unatakiwa uende hospitali kubwa za serikali au binafsi
B. Kutojielezea vizuri. Hawatoi maelezo yaliyojitosheleza.
C. Uelewa wa daktari na jinsia. Ukikutana daktari kipanga atakuandikia dawa nzuri na pia angalia jinsia hasa mwanaume.
D. Aibu. Acha kuwa na aibu hayo ndiyo mashai yako
Daktari aliniandikia dawa 4 ( majina kampuni) ambazo zilinigharimu kiasi cha 60,000 za kitanzania. Dawa mbili hazikuwepo hospitalini, mbili zingine nilinunua kwenye duka la dawa lililo jirani na hospitali hiyo. Mpaka leo risiti zake za dawa ninazo. Nimewekea lamination kabisa
Nilitumia dawa kwa miezi 3, ilikuwa 2015-06-06. Niliacha kujichua na kuangalia picha za X.
Baada ya kutumia dawa hizi niliona mabadiliko haya
1. Uume ulirudi katika hali yake ya awali. Ulikuwa mkubwa
2. Nilianza kusimamisha mpk unauma. Nasimamisha msumari
3. Nilianza kupata hisia ya kujamiana
4. Niliona mapigo ya moyo yanaenda mbio, moyo kusukuma damu nyingi kuepeleka kwenye uume.
Baada ya hapo nilianza kutumia asali ya nyuki wakubwa na wadogo pia. Nilitumia kama wiki 3 hivi. Asubuhi nakunywa vijiko 3 mpk 4, mchana na usiku. Kuna wakati nakunywa asali iliyojaa kwenye kichupa cha milimilita 300 kwa mara moja, kuna wakati natumia kulia na ugali.
Nikaja kutumia dawa (jina kapuni). Nilimeza kidonge kimoja tu kwa usiku mmoja na sijawahi kutumia tena mpaka leo hii. Kinauzwa 1500 mpaka 3500 kulingana na mkoa
Nikianza kupiga show natumia dakika 22 mpaka 30, hamu napata, kwa siku naweza kupiga show nyingi na simwagi mapema, naenda style zote. Kuna wakati sili chakula kwa wakati, maji sinywi kwa wakati na sifanyi mazoezi ila show napiga mpaka shemeji yenu anadai amechoka.
Unayesoma soma comment hii, matibabu ya kweli yapo hospitali. Nenda hospitalini. Ukapate tiba na acha kujichua. Siuzi dawa wala siyo daktari. Mimi ni mhanga kama ulivyo wewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…