Nitapataje screenshot kwenye smartphone

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
62,628
Reaction score
112,417
Wadau amani kwenu,

Mimi najuwa kufanya screeshort kwa kutumia pc nimejaribu kwenye smartphone yangu galaxy grand naona chenga tu kuna kitu nataka kufanya screenshot nilete kushare hapa JF.

Ni hilo tu wakuu.
 
Bonyeza button ya power na home key kwa pamoja. (Home key ni ile button ya katikati)
 
Bonyeza button ya power na home key kwa pamoja. (Home key ni ile button ya katikati)
Shukrani kwahiyo nikisha click nikitakaka kuja kupaste hapa nafanyaje sasa nikija hapa?
 
Mkuu nashukuru ila bado nina swali la ziada jinsi ya kuja kupaste hapa.

Hahaha vitu vya kuparamia ukubwani shida..

Sawa mshukuru dadako kwa kumkatikia mme wake uzuri la sivyo hizi galaxy ungezisikia tu
 
Hahaha vitu vya kuparamia ukubwani shida..

Sawa mshukuru dadako kwa kumkatikia mme wake uzuri la sivyo hizi galaxy ungezisikia tu

Nothing is permanent except changes mkuu faby
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…