Habari wapendwa,
Kwa anaejua jinsi ya upatikanaji wa private hostel kwa mtu anaesoma UCC city centre maana chuo kama chuo wao wanasema hawana hostel...nifanyeje ili nipate hostel ambazo zipo karibu na chuo maana kutoka Kibaha kila siku kwenda Posta ni vigumu.