lameck laedo
Senior Member
- May 15, 2016
- 174
- 76
Ninao original mpya nilinunua na kifaa toka Malaysia ,sijautumia, ni pm
Huu waya ninaweza upata wapi kwa hapa dar!?
Nenda pale Jmall mtaa wa samora kuna duka. Freedom communication au nenda kkoo mtaa wa muheza na magila kuna duka la vifaa vya electronics au kkoo mt.uhuru na kongo pale kuna street vender wanauza vifaa vya. Electronics
Huu waya ninaweza upata wapi kwa hapa dar!?
Njoo nyumbani uchukue ipo mingi sana
Huu waya ninaweza upata wapi kwa hapa dar!?